Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA BAADA YA WAJASILIAMALI WALEMAVU WAFUNGA BARABARA YA KAWAWA NA UHURU JIJINI DAR

Kundi la walemavu, wajasilimali wafanyabiashara ndogo ndongo, leo May 20, 2014 wamefunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda wa masaa matatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kuwaondoa katika eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa Juu ya gari kuangalia tukio hilo lililodumu kwa muda wa zaidi ya masaa matatu katika eneo la makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume).  Baadhi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WALEMAVU WAFUNGA MAKUTANO YA BARABARA YA KAWAWA NA UHURU JIJINI DAR

 Wafanyabiashara ambao ni walemavu wakiwa wamekaa katikati ya barabara ya Uhuru na Kawawa huku wakilalamikia kitendo cha Manispaa ya Ilala kuwavunjia vibanda vyao vya biashara na kuwasababishia upotevu na uharibifu wa mali zao katika eneo la Mchikichini pembezoni mwa Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande).  Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizungumza na viongozi wa wafanyabiashara hao baada ya kufunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru jijini Dar na...

 

10 years ago

GPL

WALEMAVU JIJINI DAR WAANDAMANA NA KUFUNGA BARABARA ZA KAWAWA NA UHURU

Walemavu jijini Dar es Salaam muda huu wameandamana kwenda ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar eneo la Ilala na kufunga barabara za Kawawa na Uhuru wakilalamikia kuvunjwa kwa meza zao za biashara zilizopo eneo la Karume.

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:WALEMAVU WAFUNGA BARABARA KARUME-ILALA JIJINI DAR LEO.

 Umati wa watu ukionekana katika eneo la Makutano ya Barabara ya Kawawa na Uhuru, Karume jijini Dar es salaam kutokana na kuwepo kwa baadhi ya walemavu wa viungo waliokaa katikati ya Barabara hizo kushinikiza kupewa eneo la Karume ili waweze kufanya biashara zao, hali iliyopelekea njia hizo kufungwa kwa muda na kuleta usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo.Baadhi ya Walemavu wakijadiliana jambo huku wakisubiri hatma ya mgomo wao kutatuliwa.Mmoja wa Walemavu akishiriki kwenye mgomo...

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYO KATIKA MAENEO YALIYO KANDO NA BONDE LA MTO MSIMBAZI,VINGUNGUTI JIJINI DAR

Katika pita pita za kila siku mtaani,hivi karibuni kamera yetu ilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali kama ionyekanavyo pichani hapa.kiukweli mambo si shwari katika eneo hili hasa usalama wa afya kwa wakazi waliozunguka eneo hilo.ukiangalia kwa makini utabaini kuwa kuna watoto wadogo wakiendelea na michezo katika eneo hilo bila kufahamu kuwa wapo hatarini kiafya.
BOFYA HAPA KUTEMBELEA LIBENEKE LA MTAA KWA MTAA  KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA SOKO LA ILALA MCHIKICHINI JIJINI DAR BAADA YA KUTEKETEA KWA MOTO

 Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.Picha zote na Othman Michuzi.  Kazi ya kuzima moto ikiendelea.  Jitihada za kuuzima moto huo bado zinaendelea.  Moto bado unaendelea kuwaka mpaka wakati huu,huku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani