Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMBO YALIVYOKUWA JIJINI BERLIN BAADA YA USHINDI WA UJERUMANI DHIDI YA URENO JANA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO MAMBO YALIVYOKUWA BAADA YA WAJASILIAMALI WALEMAVU WAFUNGA BARABARA YA KAWAWA NA UHURU JIJINI DAR

Kundi la walemavu, wajasilimali wafanyabiashara ndogo ndongo, leo May 20, 2014 wamefunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda wa masaa matatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kuwaondoa katika eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam. Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa Juu ya gari kuangalia tukio hilo lililodumu kwa muda wa zaidi ya masaa matatu katika eneo la makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume).  Baadhi ya...

 

11 years ago

Michuzi

mpoki atua ujerumani tayari kwa sherehe za muungano jijini Berlin wikiendi hii

 Msanii Maarufu nchini Tanzania Mpoki a.k.a Muarabu wa Dubai ametua katika Jiji la Frankfurt na kuelekea moja kwa moja katika Jiji la Maraha Aschaffenburg ambapo atalala usiku mmoja na kuendelea na safari siku ya pili  kuelekea  Jiji La Berlin  ambapo atahudhuria mkutano mkuu wa Umoja wa watanzania Ujerumani (U T U), Ngongamano la biashara pamoja na sherehe za muungano wa Tanzania.
Vyanzo vyetu vya habari vinanyetisha kwamba msanii huyo alitua  katika uwanja wa kimataifa  wa Frankfurt...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ujerumani 4-0 Ureno

Ujerumani imefungua kampeini yake kwa kishindo ikiiadhibu Ureno 4-0

 

11 years ago

BBCSwahili

Ujerumani 3-0 Ureno

Ujerumani imefungua kampeini yake kwa kishindo ikiiadhibu Ureno 3-0

 

11 years ago

GPL

URENO CHALI, YAPIGWA 4-0 NA UJERUMANI, MULLER APIGA HAT-TRICK

Furaha ya ushindi: Wachezaji wa Ujerumani wakifurahia ushindi dhidi ya Ureno. Ndoo: Pepe akimpiga kichwa Thomas Muller aliyekuwa chini.…

 

11 years ago

Michuzi

ujerumani leo yaigaragaza Ureno ya Cristian Ronaldo 4-0 kama wamesimama vile.....

 Na Sultani Kipingo Ushindi kwa Ujerumani ulitegemewa, ukizingatia Ureno  ni kama kwamba timu ya mtu mmoja – Ronaldo. Lakini ukweli ni kwamba isingekuwa hivyo baada ya Pepe kuoneshwa kadi nyekundu katika kipindi cha kwanza. Ila mechi hii haikuwa ni juu ya Pepe, na wala haikuwa ya Miroslav Klose, na hata haikuwa juu ya Cristiano Ronaldo. Mechi yote hii ilikuwa juu ya Thomas Muller.  Mshambuliaji huyu wa Ujerumani tayari ameshaanza mbio kuelekea kwenye mstari wa mwisho wa mfungaji bora wa...

 

10 years ago

Michuzi

ANKAL AKIWA NA WADAU WA BERLIN, UJERUMANI

Ankal (wa sita toka kulia) akiwa na wadau wakubwa wa Globu ya Jamii wa jiji la Berlin alipokutana nao hivi karibuni katiuka jiji hilo. Ankal anasema anawapenda sana wadau wake popote walipo duniani na anawashukuru kwa kuendelea kumuweka pale pale juu ya orodha ya libeneke.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani