ujerumani leo yaigaragaza Ureno ya Cristian Ronaldo 4-0 kama wamesimama vile.....
![](http://3.bp.blogspot.com/-0147uEkfQ8o/U58zs1NM7sI/AAAAAAAFrIE/DGAFftIcnEw/s72-c/article-2658453-1ED2CC3300000578-228_964x356.jpg)
Na Sultani Kipingo
Ushindi kwa Ujerumani ulitegemewa, ukizingatia Ureno ni kama kwamba timu ya mtu mmoja – Ronaldo. Lakini ukweli ni kwamba isingekuwa hivyo baada ya Pepe kuoneshwa kadi nyekundu katika kipindi cha kwanza. Ila mechi hii haikuwa ni juu ya Pepe, na wala haikuwa ya Miroslav Klose, na hata haikuwa juu ya Cristiano Ronaldo. Mechi yote hii ilikuwa juu ya Thomas Muller.
Mshambuliaji huyu wa Ujerumani tayari ameshaanza mbio kuelekea kwenye mstari wa mwisho wa mfungaji bora wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili17 Jun
11 years ago
BBCSwahili16 Jun
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oP2BDgMdsiaHbm20jom1-6hS21o1-yJvLljkpc*b*tH*R1QC6IsW*YI7*r1kgPbIBkXctgW*pqvntw51rb5dhhj/ujerumani.jpg)
URENO CHALI, YAPIGWA 4-0 NA UJERUMANI, MULLER APIGA HAT-TRICK
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2Id2Wb1jeFL2jJ8Fc2UWC5XT2-EfEupUNWa6YNAgeHiC2iRaUKpH1vZl4SQ1mvKFeyzZOEtPtNa6A4EwaxmRYvf/penny.jpg?width=650)
PENNY: DIAMOND KAMA CHIZICHIZI VILE!
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Mbowe: Tabora ni kama vile wamepewa limbwata na CCM
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/jGmKO4CQ56c/default.jpg)