PENNY: DIAMOND KAMA CHIZICHIZI VILE!
![](http://api.ning.com:80/files/eiC0hTlxr2Id2Wb1jeFL2jJ8Fc2UWC5XT2-EfEupUNWa6YNAgeHiC2iRaUKpH1vZl4SQ1mvKFeyzZOEtPtNa6A4EwaxmRYvf/penny.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema na Erick Evarist MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel Ten, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa sifa ya aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni kama chizichizi lakini kwa undani zaidi ni mtu makini. Penniel Mungilwa ‘Penny’ akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Penny alifunguka hayo mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa Wikienda hivi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Mbowe: Tabora ni kama vile wamepewa limbwata na CCM
>Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema wananchi wa Mkoa wa Tabora ni kama wamepewa limbwata na CCM na kuendelea kutoa majimbo yote 10 kwa chama hicho licha ya mkoa huo kuwa miongoni mwa mikoa maskini nchini.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/jGmKO4CQ56c/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi26 Jan
Lini tutaona kaulimbiu ya maana kama vile ULEVI KWANZA?
Ndiyo. Tumezoea sana kuimba Kilimo Kwanza, Elimu Kwanza, matokeo ya ajabu kwanza, bila kutambua ni akina nani wanaosukuma gurudumu la maendeleo, bila hata kudai kutambuliwa.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0147uEkfQ8o/U58zs1NM7sI/AAAAAAAFrIE/DGAFftIcnEw/s72-c/article-2658453-1ED2CC3300000578-228_964x356.jpg)
ujerumani leo yaigaragaza Ureno ya Cristian Ronaldo 4-0 kama wamesimama vile.....
![](http://3.bp.blogspot.com/-0147uEkfQ8o/U58zs1NM7sI/AAAAAAAFrIE/DGAFftIcnEw/s1600/article-2658453-1ED2CC3300000578-228_964x356.jpg)
11 years ago
Bongo519 Jul
Tarajia kumuona VJ Penny kama mtangazaji kwenye show kubwa ya TV
Mambo yanazidi kumnyookea Ex wa Diamond Platnumz, Penniel Mungilwa aka VJ Penny kwakuwa licha ya kuvishwa pete na kumponya kidonda alichoachiwa na hitmaker huyo, ameendelea kupata deals baada ya deals. Penny akipitia script ya kipindi Mtangazaji huyo wa redio na runinga, ataanza kuonekana hivi karibuni kwenye show inayohusu filamu za Tanzania itakayoonekana kwenye kituo cha […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania