Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tarajia kumuona VJ Penny kama mtangazaji kwenye show kubwa ya TV

Mambo yanazidi kumnyookea Ex wa Diamond Platnumz, Penniel Mungilwa aka VJ Penny kwakuwa licha ya kuvishwa pete na kumponya kidonda alichoachiwa na hitmaker huyo, ameendelea kupata deals baada ya deals. Penny akipitia script ya kipindi Mtangazaji huyo wa redio na runinga, ataanza kuonekana hivi karibuni kwenye show inayohusu filamu za Tanzania itakayoonekana kwenye kituo cha […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mtangazaji wa Magic Fm, TeeJay achukua nafasi ya Jokate kwenye ‘The One Show’ ya TV One

Kipindi cha runinga ‘The One Show’ cha TV One kilichokuwa kikiendeshwa na Jokate Mwegelo na Ezden Jumanne, kimepata mtangazaji mpya wa kike aliyechukua nafasi ya Jokate. Ezden na TeeJay Mtangazaji huyo ni Tahjir Siu a.k.a TeeJay, ambaye sasa atakuwa akifanya show hiyo na Ezden. TV 1 ilimtambulisha mwana familia huyo mpya kupitia Instagram: “Ndugu watazamaji […]

 

11 years ago

GPL

PENNY: DIAMOND KAMA CHIZICHIZI VILE!

Stori: Imelda Mtema na Erick Evarist
MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel Ten, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa sifa ya aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni kama chizichizi lakini kwa undani zaidi ni mtu makini. Penniel Mungilwa ‘Penny’ akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Penny alifunguka hayo mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa Wikienda hivi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kama ulitamani kumuona Ronaldo akiwa kocha, jibu lake lipo hapa kuhusu hilo

cristiano-ronaldo_7643b64nsbft1qzklr9o12n0l_0

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Natambua wadau wengi wa michezo wamekuwa wakitamani kumuona siku moja mchezaji bora wa dunia mara tatu, Cristiano Ronaldo (pichani) akiwa kocha wa klabu yoyote, jibu lipo hapa.

Akizungumza na mtandao wa michezo, El Mundo, Ronaldo alisema kuwa hana mpango wa kuja kuwa kocha na hivyo kumaliza maswali ambayo wadau mbalimbali wa michezo wamekuwa wakijiuliza.

Ronaldo alisema anataka kustaafu kucheza soka ndani ya miaka 5 hadi 10 ijayo lakini hana mpango wa kuwa kocha...

 

10 years ago

Bongo Movies

Zamaradi:Hivi Unahisi Kama Nisingekuwa Mtangazaji Ningekuwa Nani!!???

Mtangazaji  wa kipindi bora kabisa hapa nchi cha maswala ya filamu, kipindi cha “TAKEONE” kinachorushwa na kituo cha televisheni cha CLOUDSTV,  Zamaradi Mtetema, ambae pia ni muandaaji wa filamu, aliwauliza mashabiki wake kupitia mtandaoni kuwa asingekuwa mtangazaji  wanahisi angefanya kazi gani, majibu ya baadhi ya watu ndio yamenifanya swali hili nililete tena hapa kwenu.

Mbali na watu kadhaa kusema angekuwa “MODO”,wengi walisema angekuwa mwanasheria, polisi au wakili....labda ni kutokana...

 

9 years ago

MillardAyo

Kama hujawahi kumuona Mbunge Profesa Jay jukwaani akiongea na Wananchi wake, hii video ina kila kitu

Profesa Jay, msanii wa hiphop Tanzania aliyechukua ushindi baada ya kupigiwa kura na Wananchi wa jimbo la Mikumi Morogoro ili awe Mbunge wao kwa miaka mitano kuanzia 2015-2020, kama hujawahi kabisa kumuona akiongea na Wananchi… bonyeza play kwenye hii video hapa chini. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na […]

The post Kama hujawahi kumuona Mbunge Profesa Jay jukwaani akiongea na Wananchi wake, hii video ina kila kitu appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI WAFURAHI KUMUONA RAIS KIKWETE AKIJUMUIKA NAO KWENYE MAONESHO YA SABASABA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete jana Jumapili Julai 6, 2014 alitembelea kwa mara ya pili maonesho ya kimataifa ya bishara katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, baada ya ratiba yake kutokamilika katika ziara yake aliyoifanya siku ya Jumamosi kutokana na muda. Na kama ilivyo ada wananchi walifurahi kuwa naye karibu kama ambavyo yeye pia alifurahi kujumuika nao kwenye maonesho hayo ya kila mwaka. Watoto ndio waliokuwa wakimvutia zaidi Rais Kikwete ambapo kila...

 

11 years ago

Mwananchi

Van Vicker:Mtangazaji anayefunika kwenye filamu

Unapozungumzia wacheza filamu mahiri barani Afrika lazima Van Vicker atakuwa miongoni mwa mastaa watakaokuwapo kwenye orodha hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani