Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Van Vicker:Mtangazaji anayefunika kwenye filamu

Unapozungumzia wacheza filamu mahiri barani Afrika lazima Van Vicker atakuwa miongoni mwa mastaa watakaokuwapo kwenye orodha hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Martin Kadinda aeleza kwanini filamu ya Van Vicker na Wema inachelewa kutoka

Meneja wa mwanadada wa filamu Wema Sepetu, Martin Kadinda ameelezea sababu ya kuchelewa kutoka kwa filamu ya ‘Day After Death’ iliyochezwa na Wema pamoja na muigizaji wa Ghana, Van Vicker ‘Day After Death’. Martin amesema filamu hiyo ilikuwa itoke September mwaka huu lakini imeshindikana kutokana na kampeni za uchaguzi. “Filamu mpaka sasa ipo tayari, lakini […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Filamu ya Wema Sepetu na Van Vicker ‘Day After Death’ Kuzinduliwa September, Dar

Filamu ya Wema Sepetu na muigizaji wa Ghana, Van Vicker ‘Day After Death’ inatarajiwa kuzinduliwa September mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Wema ameiambia Bongo5 kuwa Van Vicker atakaa kwa wiki mbili zaidi kwaajili ya kufanya filamu nyingi na muigizaji huyo aliyeshinda aliyeibuka na tuzo ya muigizaji wa kike anayependwa kwenye tuzo za watu zilizotolewa Ijumaa iliyopita.

“Tunaplan kuilaunch movie yetu mwezi wa tisa, kaniambia kwamba akija he is going to stay for another two weeks na...

 

10 years ago

Bongo5

Muigizaji Van Vicker wa Ghana aamua kuingia kwenye muziki

Muigizaji wa Ghana, Van Vicker ambaye mwaka jana mwishoni amefanya filamu na staa wa Bongo Wema Sepetu, ameamua kutupa karata yake kwenye muziki. Wema Sepetu na Van Vicker wa Ghana Akizungumza kwenye mahojiano ya hivi karibuni, Vicker ambaye pia ni producer na muongozaji wa filamu amesema kuwa ameamua kujaribu kuingia kwenye muziki kwasababu ameshafanya mengi […]

 

10 years ago

GPL

LULU AMGANDA VAN VICKER

Mwandishi Wetu
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kumganda mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana, Van Vicker, Risasi Jumamosi limenyetishiwa. Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana, Van Vicker. Habari kutoka chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Lulu...

 

10 years ago

CloudsFM

WEMA AFANYA MOVIE NA VAN VICKER

Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu amesafiri kuelekea nchini Ghana kufanya filamu na mkali wa filamu nchini humo,Van Vicker filamu inaitwa Day After Death.Kupitia Instagram Van Vicker aliandika....Watch out for #DayAfterDeath (D.A.D) starring @wemasepetu and myself..#DirectorMode tanzania and ghana goin on the map for this award winning thriller.

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Van Vicker Amkumbuka Lulu!!

Jana ilikuwa ni siku ya “Kurusha Nyuma”  yani ThrowBackThrusday (TBT) ambako kwenye mtandao wa INSTAGRAM watu huweka picha za matukio yao ya zamani.

Sasa muongozaji na muigizaji maarufu wa filamu wa nchini Ghana, Van Vicker ambae Alisha kuja hapa nchini na kufanya kazi na baaadhi ya waigizaji wa hapa Bongo, alitupia picha hii akiwa na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kuandika kuwa hiyo ndio TBT  post yake ya kwanza maishani na kuwa tag baadhi ya jamaa zake wa hapa bongo , wakiwemo...

 

9 years ago

GPL

VAN VICKER KUMFANYIA SAPRAIZI WEMA


Wema Sepetu ‘Madam’, akiwa na muigizaji wa Ghana, Van Vicker. Stori:melda Mtema ZIKIWA zimesalia wiki kadhaa kabla ya kufanyika kwa sherehe ya bethidei ya muigizaji Wema Sepetu ‘Madam’, muigizaji wa Ghana, Van Vicker amesema amemuandalia zawadi ya ‘sapraizi’ mrembo huyo katika sherehe yake hiyo muhimu.
Akifunguka hayo kupitia katika akaunti yake ya Instagram, Van alimtakia Wema heri ya siku yake ya kuzaliwa kisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani