VIJIMAMBO: Van Vicker Amkumbuka Lulu!!
Jana ilikuwa ni siku ya “Kurusha Nyuma” yani ThrowBackThrusday (TBT) ambako kwenye mtandao wa INSTAGRAM watu huweka picha za matukio yao ya zamani.
Sasa muongozaji na muigizaji maarufu wa filamu wa nchini Ghana, Van Vicker ambae Alisha kuja hapa nchini na kufanya kazi na baaadhi ya waigizaji wa hapa Bongo, alitupia picha hii akiwa na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kuandika kuwa hiyo ndio TBT post yake ya kwanza maishani na kuwa tag baadhi ya jamaa zake wa hapa bongo , wakiwemo...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MBA*6Vr3b4qe4DNd585rX9RpN6fdWtB8NZCMeNs5Je-eWbgEoUsxdqplgZyXcPWN5bTCQShN3naeINkzd8hTv92/lulu1.jpg?width=650)
LULU AMGANDA VAN VICKER
9 years ago
GPLVAN VICKER KUMFANYIA SAPRAIZI WEMA
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Van Vicker, Wema Sepetu wakutana
10 years ago
CloudsFM10 Dec
WEMA AFANYA MOVIE NA VAN VICKER
Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu amesafiri kuelekea nchini Ghana kufanya filamu na mkali wa filamu nchini humo,Van Vicker filamu inaitwa Day After Death.Kupitia Instagram Van Vicker aliandika....Watch out for #DayAfterDeath (D.A.D) starring @wemasepetu and myself..#DirectorMode tanzania and ghana goin on the map for this award winning thriller.
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
WEMA:Van Vicker Alichangia Niachane na Diamond
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kudai kuwa mwigizaji Van Vicker wa Ghana, alichania kwa kiasi flani, kupelekea aachane na aliekuwa mpenzi wake, Diamond.
Kwamujibu wa GPL,akizungumzia sababu za kumwagana na Diamond, alisema pamoja na sababu nyingine, Van Vicker alihusika kuwafanya wamwagane na mpenzi wake huyo waliyedumu kwenye penzi zito lililokuwa gumzo kila kona ya Bongo.
“Kuna vitu vingi vimechangia lakini Van pia amechangia, alianza ku-like picha zangu,...
10 years ago
Bongo Movies22 Dec
Baadhi ya picha za D.A.D, Wema na Van Vicker Mzigoni
Hizi ni baadhi ya picha za ndani ya movie mpya ya mwigizaji Wema Sepetu “Madam”akishirikiana na wigizaji wa Ghana, Van Vicker inayoitwa Day After Death (D.A.D).
Madam ametua leo hapa Bongo akitokea nchini Ghana ambako kazi hii imefanyika kule.
Tusubiri mzigo wenyewe!!!.
10 years ago
Bongo Movies18 Dec
Van Vicker Ashangazwa na Habari za Yeye na Wema
Mwigizaji na mwongozaji wa filamu wa nchini Ghana, Van Vicker ameshangazwa na vyombo vya habari za udaku za hapa Bongo, kwa kile ambacho kimelipotiwa kuhusu yeye na muigizaji Wema Sepetu.
Kwenye blogs na magazeti mbalimbali ya udaku hapa Bongo zilijaa habari za kuwa Wema na Van Vicker mbali kucheza movie kuna mambo mambo walifanya eti kwa sababu tu Wema ameachana na aliekuwa mpenzi wake Diamond Platnumz na hivyo alitaka kumrusha roho, kitu ambacho hakina ukweli wowote.
Kupitia ukurasa wake...
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Van Vicker:Mtangazaji anayefunika kwenye filamu
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
VAN VICKER :Tumefanya Kazi Na Kucheza Kama Marafiki
Muigizaji na muongozaji wa filamu Van Vicker kutoka Ghana, ameonyesha kufurahishwa na jinsi alivyofanya kazi na muigizaji Wema Sepetu kutoka Tanzania. Akieleza kupitia mtandaoni Van Vicker alieleza kuwa ni heshma kwake kufanya kazi na Wema na wamefanya kazi kama marafiki, baada ya kuweka picha hiyo aliandika;
"Fun time Baby! We work and play at the same time. Working as colleagues is not the same as working as FRIENDS. I am honored”
Wema na Van Vicker ndio wahusika wa kuu kwenye...