LULU AMGANDA VAN VICKER
![](http://api.ning.com:80/files/tZHhhMhD8MBA*6Vr3b4qe4DNd585rX9RpN6fdWtB8NZCMeNs5Je-eWbgEoUsxdqplgZyXcPWN5bTCQShN3naeINkzd8hTv92/lulu1.jpg?width=650)
Mwandishi Wetu Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kumganda mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana, Van Vicker, Risasi Jumamosi limenyetishiwa. Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana, Van Vicker. Habari kutoka chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Lulu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies06 Feb
VIJIMAMBO: Van Vicker Amkumbuka Lulu!!
Jana ilikuwa ni siku ya “Kurusha Nyuma” yani ThrowBackThrusday (TBT) ambako kwenye mtandao wa INSTAGRAM watu huweka picha za matukio yao ya zamani.
Sasa muongozaji na muigizaji maarufu wa filamu wa nchini Ghana, Van Vicker ambae Alisha kuja hapa nchini na kufanya kazi na baaadhi ya waigizaji wa hapa Bongo, alitupia picha hii akiwa na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kuandika kuwa hiyo ndio TBT post yake ya kwanza maishani na kuwa tag baadhi ya jamaa zake wa hapa bongo , wakiwemo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-DeP4gDBSPPOrXR0cEW-cRWpZZovhMZie*t0ROwVw4r1zeCw4dZbWWoq1Zk1Oa-vnHdV09w3YoMjXvRsmBgo-1PA/Steve.jpg)
STEVE NYERERE AMGANDA MAMA LULU KIFUANI
10 years ago
Bongo Movies16 Jan
VIJIMAMBO:Steve Nyerere Amganda Mama Lulu Kifuani!!
Aliye kuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere hivi karibuni aliibua miguno baada ya kumganda kifuani mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila huku akionekana kutotaka kubanduka mwilini mwa mama huyo.
Tukio hilo lililowafanya watu wabaki wakiwa wamepigwa butwaa, lilijiri ndani ya Hoteli ya Landmark jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa kitabu cha Marehemu Steven Kanumba kiitwacho The Great Follen Tree.
Awali, waalikwa kwenye sherehe hiyo waliinuka na kwenda kucheza wimbo wa...
9 years ago
GPLVAN VICKER KUMFANYIA SAPRAIZI WEMA
10 years ago
CloudsFM10 Dec
WEMA AFANYA MOVIE NA VAN VICKER
Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu amesafiri kuelekea nchini Ghana kufanya filamu na mkali wa filamu nchini humo,Van Vicker filamu inaitwa Day After Death.Kupitia Instagram Van Vicker aliandika....Watch out for #DayAfterDeath (D.A.D) starring @wemasepetu and myself..#DirectorMode tanzania and ghana goin on the map for this award winning thriller.
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Van Vicker, Wema Sepetu wakutana
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
WEMA:Van Vicker Alichangia Niachane na Diamond
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kudai kuwa mwigizaji Van Vicker wa Ghana, alichania kwa kiasi flani, kupelekea aachane na aliekuwa mpenzi wake, Diamond.
Kwamujibu wa GPL,akizungumzia sababu za kumwagana na Diamond, alisema pamoja na sababu nyingine, Van Vicker alihusika kuwafanya wamwagane na mpenzi wake huyo waliyedumu kwenye penzi zito lililokuwa gumzo kila kona ya Bongo.
“Kuna vitu vingi vimechangia lakini Van pia amechangia, alianza ku-like picha zangu,...
10 years ago
Bongo Movies22 Dec
Baadhi ya picha za D.A.D, Wema na Van Vicker Mzigoni
Hizi ni baadhi ya picha za ndani ya movie mpya ya mwigizaji Wema Sepetu “Madam”akishirikiana na wigizaji wa Ghana, Van Vicker inayoitwa Day After Death (D.A.D).
Madam ametua leo hapa Bongo akitokea nchini Ghana ambako kazi hii imefanyika kule.
Tusubiri mzigo wenyewe!!!.
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Van Vicker:Mtangazaji anayefunika kwenye filamu