Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIJIMAMBO:Steve Nyerere Amganda Mama Lulu Kifuani!!

Aliye kuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere hivi karibuni aliibua miguno baada ya kumganda kifuani mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila huku akionekana kutotaka kubanduka mwilini mwa mama huyo.

Tukio hilo lililowafanya watu wabaki wakiwa wamepigwa butwaa, lilijiri ndani ya Hoteli ya Landmark jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa kitabu cha Marehemu Steven Kanumba kiitwacho The Great Follen Tree.

Awali, waalikwa kwenye sherehe hiyo waliinuka na kwenda kucheza wimbo wa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE AMGANDA MAMA LULU KIFUANI

Na Gabriel Ng’osha/Ijumaa
Aliye kuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere hivi karibuni aliibua miguno baada ya kumganda kifuani mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila huku akionekana kutotaka kubanduka mwilini mwa mama huyo. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere akimbambia mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila. Tukio hilo lililowafanya watu wabaki wakiwa wamepigwa butwaa,...

 

10 years ago

Vijimambo

STEVE NYERERE AMGANDA MAMA LUU KIFUANI

Aliye kuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere hivi karibuni aliibua miguno baada ya kumganda kifuani mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila huku akionekana kutotaka kubanduka mwilini mwa mama huyo.
Tukio hilo lililowafanya watu wabaki wakiwa wamepigwa butwaa, lilijiri ndani ya Hoteli ya Landmark jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa kitabu cha Marehemu Steven Kanumba kiitwacho The Great Follen Tree.Awali, waalikwa kwenye sherehe hiyo waliinuka na kwenda kucheza wimbo wa...

 

11 years ago

GPL

STEVE NYERERE AMWAGIA SIFA LULU

Stori: Mayasa Mariwata
RAIS wa Bongo Movie Unit, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemwagia sifa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa ni binti mdogo lakini sasa anajitambua tofauti na wasanii wengine wakubwa. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akipiga stori na Ijumaa Steve alisema kuwa, mbali na umakini katika kazi zake za kisanii, sasa hivi yuko makini sana na maisha yake kiasi...

 

11 years ago

GPL

LULU ADAIWA KUKUWADIWA NA STEVE NYERERE!

Stori: Mayasa Mariwata
OOHOOO! Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekwaa skendo ya kudaiwa kukuwadiwa na mwigizaji mwenzake, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kwa mwanaume anayedaiwa kutoka naye kimapenzi kwa sasa anayetajwa kwa jina moja la Johnson. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Chanzo makini kilipenyeza ‘upupu’ huo ambao umefafanuliwa na Steve Nyerere kuwa ukaribu wa Lulu na bosi huyo...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wema Sepetu, Steve Nyerere Kuzindua ‘Mama Ongea na Mwanao’ Leo

Wasanii mbalimbali wakiongozwa na Wema Sepetu na Steve Nyerere leo wanatarajia kuzindua kampeni yao rasmi ya #MamaOngeaNaMwanao katika hotel ya Hyatt Kempinski jijini Dar Es Salaam.

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo itakayohudhuriwa na wake wa viongozi mbalimbali kama Janet Magufuli, Salma Kikwete, Mama Shein, Mama Bilal, Tunu Pinda, Zhakia Meghji, Asha Rose Migiro, na wengine wengi.

Chanzo: cloudsfm.com
 

 

10 years ago

GPL

LULU AMGANDA VAN VICKER

Mwandishi Wetu
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ anadaiwa kumganda mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana, Van Vicker, Risasi Jumamosi limenyetishiwa. Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana, Van Vicker. Habari kutoka chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu wa Lulu...

 

10 years ago

GPL

STEVE RNB ATANGAZA NDOA, BARNABA AMTOLEA MAHARI MAMA STEVE

Stori: Musa Mateja
MSANII wa Bongo Fleva, Steven William ‘RnB’ juzikati aliweka wazi kuwa anatarajia kuoa Oktoba 11, mwaka huu huku mwanamuziki mwenzake Elias Barnaba akieleza kuwa amemtolea mahari mzazi mwenzake, mama Steve na siku si nyingi atafunga ndoa. Msanii wa Bongo Fleva, Elias Barnaba. Wakizungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti, wasanii hao kila mmoja ameonesha dhamira ya kuishi katika njia...

 

10 years ago

Bongo Movies

VIJIMAMBO: Van Vicker Amkumbuka Lulu!!

Jana ilikuwa ni siku ya “Kurusha Nyuma”  yani ThrowBackThrusday (TBT) ambako kwenye mtandao wa INSTAGRAM watu huweka picha za matukio yao ya zamani.

Sasa muongozaji na muigizaji maarufu wa filamu wa nchini Ghana, Van Vicker ambae Alisha kuja hapa nchini na kufanya kazi na baaadhi ya waigizaji wa hapa Bongo, alitupia picha hii akiwa na mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kuandika kuwa hiyo ndio TBT  post yake ya kwanza maishani na kuwa tag baadhi ya jamaa zake wa hapa bongo , wakiwemo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani