STEVE NYERERE AMWAGIA SIFA LULU
![](http://api.ning.com:80/files/-MeNb2aDJx3*QIaaOZajAno33TjtSU0FpoY4Hl9iJDeW1GbGNWo2wpBg16Ucansg7O5wiliKnCL9lVaHgOp10oVBm8SfX3CO/STEVENYERERE.jpg?width=650)
Stori: Mayasa Mariwata RAIS wa Bongo Movie Unit, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemwagia sifa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuwa ni binti mdogo lakini sasa anajitambua tofauti na wasanii wengine wakubwa. Elizabeth Michael ‘Lulu’. Akipiga stori na Ijumaa Steve alisema kuwa, mbali na umakini katika kazi zake za kisanii, sasa hivi yuko makini sana na maisha yake kiasi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal
Robert Pires.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.
Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.
“Namjua Wanyama, ni balozi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VMB94olbxS10WkojDYoi5JaJ3h87HlVjJrAkwGVRxCsHEYcZaWE7LWLDGPOxU50P3TZybEYiK2KjVUsxPNtZJGNMnMF-aAnM/LULU.jpg?width=650)
LULU ADAIWA KUKUWADIWA NA STEVE NYERERE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/N9SP9Z4W-DeP4gDBSPPOrXR0cEW-cRWpZZovhMZie*t0ROwVw4r1zeCw4dZbWWoq1Zk1Oa-vnHdV09w3YoMjXvRsmBgo-1PA/Steve.jpg)
STEVE NYERERE AMGANDA MAMA LULU KIFUANI
10 years ago
Bongo Movies16 Jan
VIJIMAMBO:Steve Nyerere Amganda Mama Lulu Kifuani!!
Aliye kuwa Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Nyerere hivi karibuni aliibua miguno baada ya kumganda kifuani mama wa msanii Elizabeth Michael, Lucresia Karugila huku akionekana kutotaka kubanduka mwilini mwa mama huyo.
Tukio hilo lililowafanya watu wabaki wakiwa wamepigwa butwaa, lilijiri ndani ya Hoteli ya Landmark jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa kitabu cha Marehemu Steven Kanumba kiitwacho The Great Follen Tree.
Awali, waalikwa kwenye sherehe hiyo waliinuka na kwenda kucheza wimbo wa...
10 years ago
Uhuru NewspaperMourinho amwagia sifa Terry
Mourinho alisema katika kipindi kirefu ameweza kumshawishi Terry kuendelea kuichezea timu hiyo licha ya kutaka kuondoka mara kwa mara.Kocha huyo alisema kila Terry alivyotaka kuondoka alimzuia kwani alikuwa muhimu sana katika kikosi chake na ndio maana alikuwa akimzuia."Nimekuwa nikimzuia Terry kuondoka kwa kuwa mimi kama kocha najua umuhimu wake kwani ameweza...
10 years ago
Bongo Movies01 Jun
Mshiriki wa BBA Kutoka Namibia Amwagia Sifa Wema Sepetu
Mshiriki wa Big Brother Afrika ‘BBA’ Hot Shot 2014 kutoka nchini Namibia, Luis Munana, amemwagia sifa aliyekuwa Miss Tanzania 2016, Wema Sepetu kuwa ni mwenye mvuto wa kipekee.
Lakini licha ya kutoa sifa hizo, mshiriki mwenzao ambaye ndiye mwenyeji wao, Idris Sultan, hakutokea katika sherehe hiyo jambo lililozua minong’ono kwa watu baada ya tetesi kwamba ana ugomvi na Wema Sepetu.
Wema alimwagiwa sifa hizo alipokuwa katika sherehe za Instagram Party katika viwanja vya Posta Kijitonyama...
11 years ago
Bongo Movies20 Jul
Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo.
Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika
"Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera...
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
Steve Nyerere: Wamenikomoa
MWENYEKITI wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, amesema anaumizwa na baadhi ya wasanii ambao hawampi ushirikiano licha ya kumpa kura nyingi siku ya uchaguzi, akisema yaonekana walifanya hivyo ili...