Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal
Robert Pires.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.
Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.
“Namjua Wanyama, ni balozi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru NewspaperMourinho amwagia sifa Terry
Mourinho alisema katika kipindi kirefu ameweza kumshawishi Terry kuendelea kuichezea timu hiyo licha ya kutaka kuondoka mara kwa mara.Kocha huyo alisema kila Terry alivyotaka kuondoka alimzuia kwani alikuwa muhimu sana katika kikosi chake na ndio maana alikuwa akimzuia."Nimekuwa nikimzuia Terry kuondoka kwa kuwa mimi kama kocha najua umuhimu wake kwani ameweza...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-MeNb2aDJx3*QIaaOZajAno33TjtSU0FpoY4Hl9iJDeW1GbGNWo2wpBg16Ucansg7O5wiliKnCL9lVaHgOp10oVBm8SfX3CO/STEVENYERERE.jpg?width=650)
STEVE NYERERE AMWAGIA SIFA LULU
11 years ago
Bongo Movies20 Jul
Kitale (Mkude Simba) amwagia sifa kedekede Riyama Ally.
Kupitia ukurasa wa mtandao mmoja maarufu wa kijamii nchini, mwigizaji wa vichekesho na filamu nchini, Kitale almaarufu kama Mkude Simba amemwamgia sifa kedekede mwigizaji mwigine anayefanya vizuri kwenye upande wa filamu nchini Riyama Ali kama ishara ya kuonesha upendo wake kwa mwanadada huyo.
Huku akiwa ameweka picha ya mwanadada Riyama, Kitale aliandika
"Huyu mdada mm napenda kumuita kambi popote kwa maana ya kwamba achagui scene yy ukimpa scene yoyote ile kwake twende anacheza, ongera...
10 years ago
Bongo Movies01 Jun
Mshiriki wa BBA Kutoka Namibia Amwagia Sifa Wema Sepetu
Mshiriki wa Big Brother Afrika ‘BBA’ Hot Shot 2014 kutoka nchini Namibia, Luis Munana, amemwagia sifa aliyekuwa Miss Tanzania 2016, Wema Sepetu kuwa ni mwenye mvuto wa kipekee.
Lakini licha ya kutoa sifa hizo, mshiriki mwenzao ambaye ndiye mwenyeji wao, Idris Sultan, hakutokea katika sherehe hiyo jambo lililozua minong’ono kwa watu baada ya tetesi kwamba ana ugomvi na Wema Sepetu.
Wema alimwagiwa sifa hizo alipokuwa katika sherehe za Instagram Party katika viwanja vya Posta Kijitonyama...
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Wanyama aimwagia sifa Southampton
LONDON, ENGLAND
KIUNGO wa timu ya Taifa ya Kenya na klabu ya Southampton ya nchini England, Victor Wanyama, ameimwagia sifa klabu yake ya Southampton kwa ushirikiano ambao waliuonesha kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Arsenal ambapo Southampton iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mtandao wa Supersport umeripoti kwamba, Wanyama amekuwa na furaha kubwa baada ya kuisaidia timu yake Southampton kuweza kuibuka na ushindi katika Sikukuu ya ‘Boxing Day’ kwa kuichapa...
9 years ago
Mwananchi09 Nov
Sitta: Nina sifa zote kuongoza Bunge lijalo
10 years ago
Bongo524 Aug
Jux: Vanessa Mdee ana kila sifa ya kuwa mke
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Nape asema wanaotangaza nia wamepoteza sifa
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/skuCKHlxf8WKh9A9-7Mih3X-kOBAevxksVUml2GVsp6mMYI6**G9ymgtXhCkmlJxqAp3B01Fo098R4ZTk8jQfM5qEzcfdlgu/love.jpg)
HAJIBU MESEJI, HAPOKEI SIMU, MAPENZI YAMEPUNGUA, ANA SIFA ZA KUWA MPENZI WAKO? JIONGEZE!