Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape asema wanaotangaza nia wamepoteza sifa

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema mwanachama yeyote anayetangaza nia ya kuwania nafasi ya urais kabla ya muda mwafaka kutangazwa, anapoteza sifa ya kuwa mgombea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mwamalanga awaonya wanaotangaza nia

VIONGOZI wa vyama vya siasa wanaotangaza nia ya kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2015 wametakiwa kupima uwezo wao wa kukabiliana na matatizo ya jamii. Matatizo hayo ni uporaji wa...

 

11 years ago

Habarileo

CCM kuwahoji wanachama wanaotangaza nia kiaina

Philip MangulaKUTOKANA na kushamiri kwa kile kinachoonekana kampeni za chini kwa chini kuelekea katika chaguzi zijazo nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinatarajia kuwaita na kuwahoji baadhi ya wanachama wake wanaokiuka kanuni na maadili ya chama hicho kwa kuanza kampeni kabla ya muda unaoruhusiwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM imechelewa kuchukua hatua kwa wanaotangaza nia

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinataka kutuaminisha leo hii kuwa kina uwezo wa kuwadhibiti watu wanaotumia hila, ghilIba, kutenda kinyume na kanuni na taratibu za chama katika kuusaka uongozi ndani ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal

robert-pires_3068381k

Robert Pires.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.

Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.

“Namjua Wanyama, ni balozi...

 

11 years ago

Michuzi

NAPE : CCM HAIKATAZI MWANACHAMA WAKE KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UONGOZI

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye amesema Chama Cha Mapinduzi hakimzuii mwanachama yeyote kutangaza nia ya kugombea Uongozi katika muhula unaofuata isipokuwa Chama kimezuia kampeni za mapema kwani ndio chanzo cha makundi ndani ya Chama akizungumza kwenye kipindi cha Baragumu kinachorushwa na Channel 10.
Nape  alisema taratibu za kugombea Uongozi ndani ya chama zipo na kuna Kanuni mbili, moja ni ya Kanuni za Viongozi na Maadili na pili Kanuni zinazosimamia Uchaguzi...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ASEMA UADILIFU NDIO SIFA NAMBA MOJA YA KIONGOZI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Jimbo la Kongwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Mkoka,wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma ikiwa sehemu ya muendelezo wa ziara zake za kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM mwaka 2010.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mkoka wilayani Kongwa na kuwaambia moja ya sifa muhimu na ya kipekee kwa kiongozi anayefaa kuongoza wananchi ni Uadilifu.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Mheshimiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Warioba asema watangaza nia waache kujitangazia uadilifu

Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba.ALIYEKUWA Waziri Mkuu, Jaji Joseph Warioba ametaka watangaza nia kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kusema wao ni waadilifu, badala yake wasubiri wananchi waseme kwa kuwa wanawafahamu.

 

10 years ago

GPL

MAKONGORO NYERERE ATANGAZA NIA, ASEMA ATAIOKOA CCM NA RUSHWA

Makongoro Nyerere wakati wa zoezi la kutangaza nia jana. Makongoro Nyerere baada ya kuvishwa vazi aina ya mgolole. Makongoro akifanyiwa maombi wakati wa…

 

10 years ago

Vijimambo

Nape asema CCM imezuia mafuriko kwa mikono.

Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejigamba kwamba kimeweza kuzuia ‘mafuriko’ kwa mikono huku kikiwatakia kila la kheri baadhi ya makada wake waliotangaza kutogombea kupitia chama hicho pamoja na wale waliokihama na wanaotaka kukihama.

Mwishoni mwa wiki iliyopita waliokuwa madiwani jimbo la Monduli kupitia CCM mkoani Arusha, walitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), huku wabunge wa viti maalum, Ester Bulaya na James Lembeli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani