Mwamalanga awaonya wanaotangaza nia
VIONGOZI wa vyama vya siasa wanaotangaza nia ya kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2015 wametakiwa kupima uwezo wao wa kukabiliana na matatizo ya jamii. Matatizo hayo ni uporaji wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo04 Jan
CCM kuwahoji wanachama wanaotangaza nia kiaina
KUTOKANA na kushamiri kwa kile kinachoonekana kampeni za chini kwa chini kuelekea katika chaguzi zijazo nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinatarajia kuwaita na kuwahoji baadhi ya wanachama wake wanaokiuka kanuni na maadili ya chama hicho kwa kuanza kampeni kabla ya muda unaoruhusiwa.
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Nape asema wanaotangaza nia wamepoteza sifa
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
CCM imechelewa kuchukua hatua kwa wanaotangaza nia
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinataka kutuaminisha leo hii kuwa kina uwezo wa kuwadhibiti watu wanaotumia hila, ghilIba, kutenda kinyume na kanuni na taratibu za chama katika kuusaka uongozi ndani ya...
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Askofu Mwamalanga awapongeza UKAWA
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kipentekoste Tanzania, William Mwamalanga, amewapongeza wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kwa kuondoka bungeni huku akisema wajumbe walibaki wanaendesha ‘bunge la...
11 years ago
GPLMABALOZI WANAOTANGAZA UTALII WA TANZANIA NCHINI MAREKANI WAZAWADIWA
10 years ago
Mwananchi07 Jun
Kona ya Makengeza: Tanza-nia isiwe Tanzia-nia
11 years ago
Habarileo20 Feb
RC awaonya wafugaji
SERIKALI mkoani hapa imeazimia kuchukua hatua za kisheria kwa mtu yeyote atakayekiuka utaratibu wa kisheria wa kutaka kuhamia katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya ufugaji. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro alitoa msisitizo huo alipokuwa kwenye ziara ya kikazi wilayani Chunya, ambapo aliitaja wilaya hiyo kuwa miongoni mwa wilaya zilizokithiri kwa maeneo yake kuvamiwa na wafugaji wanaohamia bila kufuata utaratibu.
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Lukuvi awaonya wafanyabiashara
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),William Lukuvi, amewakemea baadhi ya wafanyabiashara kuacha kutumia jina lake na kuvamia maeneo ya watu kwa nia ya kudhulumu maeneo...
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Rage awaonya wanachama
MWENYEKITI wa Simba anayemaliza muda wake, Ismail Aden Rage, amewaonya wanachama kuwa makini kuelekea uchaguzi mkuu, kwani kitendo cha kupandikiza maneno kwa Mgombea wa Urais Michael Wambura kitaharibu mchakato mzima...