Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lukuvi awaonya wafanyabiashara

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),William Lukuvi, amewakemea baadhi ya wafanyabiashara kuacha kutumia jina lake na kuvamia maeneo ya watu kwa nia ya kudhulumu maeneo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Lukuvi awaonya wawekezaji wasioendeleza maeneo yao

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewaonya wawekezaji walionunua maeneo mbalimbali nchini bila ya kuyaendeleza na kuwataka wayarudishe kwa wananchi.

Kauli hiyo ameitoa siku mbili baada ya kuapishwa kuwa waziri mwenye dhamana ya wizara hiyo na kuahidi kuwa atahakikisha wananchi wanamilikishwa ardhi kisheria.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mkazi ni miongoni mwa wizara yenye migogoro mingi ya ardhi hali inayopelekea Waziri mwenye dhamana William Lukuvi...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri awaonya wafanyabiashara

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amesema Serikali haina mpango wa kubadili ukusanyaji wa kodi kupitia mashine za elekroniki EFDS na kwamba, ipo tayari kupambana na wafanyabiashara wote wanaopingana na utaratibu huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malima awaonya wafanyabiashara

NAIBU Waziri wa Fedha, Adam Malima, amewaonya wafanyabiashara nchini wanaoasisi migomo ya matumizi ya mashine za elektroniki (EFD) za Mamlaka ya Mapato Tanzania na kusema serikali haitawavumilia watu wa namna...

 

11 years ago

Habarileo

RC awaonya wafugaji

SERIKALI mkoani hapa imeazimia kuchukua hatua za kisheria kwa mtu yeyote atakayekiuka utaratibu wa kisheria wa kutaka kuhamia katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya ufugaji. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro alitoa msisitizo huo alipokuwa kwenye ziara ya kikazi wilayani Chunya, ambapo aliitaja wilaya hiyo kuwa miongoni mwa wilaya zilizokithiri kwa maeneo yake kuvamiwa na wafugaji wanaohamia bila kufuata utaratibu.

 

9 years ago

Mwananchi

RC awaonya wakuu wa shule

Serikali mkoani hapa imewaonya wakuu wa shule zote kuwa yeyote atakayebainika kuomba michango kwa wazazi itachukua hatua za kisheria.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda awaonya ma-DC wababe

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameonya Wakuu wa Wilaya wanaotawala kibabe, akitaka waache mara moja mbinu hiyo ya kiutawala kwani inajenga uadui, chuki na uhasama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rage awaonya wanachama

MWENYEKITI wa Simba anayemaliza muda wake, Ismail Aden Rage, amewaonya wanachama kuwa makini kuelekea uchaguzi mkuu, kwani kitendo cha kupandikiza maneno kwa Mgombea wa Urais Michael Wambura kitaharibu mchakato mzima...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sadik awaonya vijana

MKUU wa Mkoa Dar es Salaam, Said Meck Sadik, amewataka vijana kujiepusha na mapenzi ya kunyonyana ulimi kwa sababu njia hiyo inatajwa kuwa chanzo cha maambukizi wa Homa ya Ini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Simbachawene awaonya wajumbe

MJUMBE wa Bunge Maalumu, George Simbachawene, amewaonya wajumbe wenzake waache kumbeza Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Warioba na rasimu ya Katiba iliyotolewa na tume hiyo.  Simbachawene alitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani