Lukuvi awaonya wawekezaji wasioendeleza maeneo yao
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewaonya wawekezaji walionunua maeneo mbalimbali nchini bila ya kuyaendeleza na kuwataka wayarudishe kwa wananchi.
Kauli hiyo ameitoa siku mbili baada ya kuapishwa kuwa waziri mwenye dhamana ya wizara hiyo na kuahidi kuwa atahakikisha wananchi wanamilikishwa ardhi kisheria.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mkazi ni miongoni mwa wizara yenye migogoro mingi ya ardhi hali inayopelekea Waziri mwenye dhamana William Lukuvi...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 May
Wachimbaji wasioendeleza maeneo waonywa
WIZARA ya Nishati na Madini imesema inaendelea kuwanyang’anya wachimbaji wakubwa wote walioshikilia leseni za maeneo ya uchimbaji lakini hawayaendelezi. Naibu Waziri wa wizara hiyo, Stephen Masele, alitoa kauli hiyo bungeni...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Lukuvi awaonya wafanyabiashara
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),William Lukuvi, amewakemea baadhi ya wafanyabiashara kuacha kutumia jina lake na kuvamia maeneo ya watu kwa nia ya kudhulumu maeneo...
9 years ago
Michuzi
BALOZI SEFUE AWAAGIZA WATUMISHI WA UMMA KUVAA BEJI ZENYE MAJINA YAO WAWAPO KATIKA MAENEO YAO YA KAZI


Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi Ombeni Sefue akiwaonyesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) beji yenye jina lake ambayo amewaagiza watumishi wa Umma kuivaa wanapokuwa katika maeneo yao ya kazi. Balozi Sefue alifanya mkutano na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam jana na kutoa taarifa ya Serikali kuhusu kesi ya Serious Fraud Office (SFO) dhidi ya Standard Bank.
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Maeneo ya wazi Kinondoni na hujuma za wawekezaji
WAKATI maeneo ya Manispaa ya Kindondoni Dar es Salaam yakikabiliwa na migogoro ya ardhi, baadhi ya watendaji wa manispaa hiyo hawako tayari kuepusha migogoro hiyo. Hali hiyo inatokana na hivi...
10 years ago
Mwananchi05 Oct
Lukuvi: Tutarudisha maeneo yote ya wazi yaliyoporwa
10 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI BAGAMOYO
5 years ago
Michuzi
SAMIA SULUHU HASSAN AWAONYA WANA CCM WALIOANZA KAMPENI KABLA YA WAKATI,ASEMA WANAYO MAJINA YAO

5 years ago
Michuzi
WAZIRI KAMWELWE AWAAGIZA MAMENEJA WA TANROADS KUIMARISHA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU KATIKA MAENEO YAO
Charles James, Globu ya Jamii
KUTOKANA na mvua kali ambazo zinaendelea kunyeesha katika maeneo mbalimbali nchini, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe amewaagiza mameneja wote wa TANROADS nchini kuimarisha miundombinu ya barabara na madaraja kwenye maeneo yao.
Agizo hilo pia limeenda kwa Mamlaka za hali ya news nchini kuhakikisha wanatoa taarifa za hali ya hewa hususani za mvua mara kwa mara kwa wananchi.
Waziri Kamwelwe pia ametoa wito kwa wananchi wote kuchukua...
10 years ago
Michuzi
WANANCHI NA TAASISI WATAKIWA KUCHUKUA TAHADHARI WANAPOTAKA KUPIMA MAENEO YAO YA ARDHI KUEPUKA KUTAPELIWA

