Maeneo ya wazi Kinondoni na hujuma za wawekezaji
WAKATI maeneo ya Manispaa ya Kindondoni Dar es Salaam yakikabiliwa na migogoro ya ardhi, baadhi ya watendaji wa manispaa hiyo hawako tayari kuepusha migogoro hiyo. Hali hiyo inatokana na hivi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
Waliojigawia maeneo ya wazi wapewa siku 7
MBUNGE wa Jimbo la Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa, ametoa siku saba kwa watu wote waliojipimia na kuweka nguzo katika maeneo ya wazi na mabondeni jimboni humo kuhakikisha wanaondoa nguzo zao....
9 years ago
StarTV15 Dec
Lukuvi awaonya wawekezaji wasioendeleza maeneo yao
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewaonya wawekezaji walionunua maeneo mbalimbali nchini bila ya kuyaendeleza na kuwataka wayarudishe kwa wananchi.
Kauli hiyo ameitoa siku mbili baada ya kuapishwa kuwa waziri mwenye dhamana ya wizara hiyo na kuahidi kuwa atahakikisha wananchi wanamilikishwa ardhi kisheria.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mkazi ni miongoni mwa wizara yenye migogoro mingi ya ardhi hali inayopelekea Waziri mwenye dhamana William Lukuvi...
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Lukuvi: Tutarudisha maeneo yote ya wazi yaliyoporwa
9 years ago
Habarileo26 Dec
‘Dar ina maeneo ya wazi 180 yaliyovamiwa’
JIJI la Dar es Salaam lina maeneo ya wazi 180 ambayo yamevamiwa, ambapo 111 yapo Halmashauri ya Kinondoni, 50 yapo Ilala na Temeke yapo 19. Hayo yamebainishwa wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba, walipozungumza na waandishi wa habari.
10 years ago
StarTV03 Jun
China yapiga marufuku uvutaji wa sigara maeneo ya wazi.
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/11/29/141129034416_smoking_640x360_getty_nocredit.jpg)
Watakaokiuka sheria ya uvutaji sigara mjini Beijing kupigwa faini
Serikali ya China,imepiga marufuku kuvuta sigara katika maeneo yote ya wazi katika mji wa Beijing.
Maelfu ya maafisa wameanza kufanya ukaguzi katika maeneo yote ya wazi na watakaokiuka kufuata sheria hiyo watapigwa faini.
Hata hivyo China ina wavuta sigara milioni mia tatu wakati sheria ya kusitisha wavutaji sigara katika maeneo ya wazi ya mji wa Beijing ilipopitishwa kwa mara ya kwanza na kushindwa kutekelezeka.
Ripoti inasema...
10 years ago
MichuziWAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI BAGAMOYO
11 years ago
Habarileo17 Jun
Vimini, mgongo wazi marufuku Mahakama ya Kinondoni
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imetoa amri ya kuzuai watu wenye mavazi yasiyo na staha kuingia makahamani hapo.
9 years ago
StarTV17 Dec
Uuzwaji matunda, vyakula maeneo ya wazi ni marurufu nchini ili Kudhibiti Kipindupindu
Serikali imepiga marufuku wafanyabiashara wanaouza matunda yaliyokatwa na chakula katika maeneo ya wazi nchi nzima ili kuzuia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ulioenea katika mikoa takribani 21 Tanzania Bara.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa tamko hilo la serikali na kusema ili kuumaliza ugonjwa huo ni lazima maambukizi mapya yadhibitiwe na atakayekiuka agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.
Tamko hilo limetolewa wakati watu elfu 11,257...
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Halmashauri nchini zashauriwa kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya michezo
Ofisa michezo wa wilaya ya Manyoni, Salumu Mohamedi Mkuya akiongoza ratiba ya michezo ya tamasha iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari Kilimatinde,wilayani Manyoni.
Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Manyoni, Jesca Mununo na Katibu wa CWT Wilaya ya Manyoni, Nalea Nyamuyo wakibadilishana mawazo wakati wa tamasha la michezo kwa shule za msingi na sekondari za tarafa ya Kilimatinde,wilayani Manyoni.
Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida, Arani Jumbe ( wa nne kutoka kulia), Mwenyekiti wa...