Vimini, mgongo wazi marufuku Mahakama ya Kinondoni
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imetoa amri ya kuzuai watu wenye mavazi yasiyo na staha kuingia makahamani hapo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM17 Jun
WANAOVAA VIMINI, MAVAZI YANAYOBANA MARUFUKU MAHAKAMA YA KINONDONI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imeweka kibano kwa watu wenye mavazi yasiyo na staha kuingia makahamani hapo kwa kuwazuia mlangoni.
Miongoni mwa mavazi ambayo akivaa mtu anazuiwa kuingia si tu ndani ya vyumba vya Mahakama, bali pia kwenye viwanja vyake, ni yanayobana, yanayoacha mgongo wazi, fupi na mashati au blauzi za mikono mifupi.
Hatua hiyo ilianza kutekelezwa takribani wiki tatu zilizopita. Kibano hicho kinamuhusu mtu yeyote mwenye shughuli mahakamani hapo wakiwemo...
11 years ago
Mwananchi20 Feb
‘Vimini’ marufuku Uganda
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Vimini marufuku Bunge la Katiba
11 years ago
Habarileo20 Feb
Vimini, vitopu marufuku Uganda
RAIS Yoweri Museveni amesaini sheria ambayo inaharamisha mavazi yasiyo ya heshima na picha za utupu. Pia, wanawake wamepigwa marufuku kuvaa nguo fupi - vimini na blauzi fupi – vitopu, ambavyo vinashawishi hisia za ngono, isipokuwa kama vivazi hivyo vitatumika kwa madhumuni ya kutoa elimu au matibabu au kutumika kwenye michezo na utamaduni.
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Jeans, vimini marufuku serikalini
OFISI ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imepiga marufuku uvaaji wa nguo yoyote inayopingana na maadili ya utumishi wa umma. Kwa mujibu wa waraka huo uliosambazwa kwenye ofisi mbalimbali...
9 years ago
Mwananchi28 Dec
KKKT Karanga yapiga marufuku vimini
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/saEvSFZMI0lunvNYZoP2wfmTfffX7wP-DHjcDN1A0jlBhidIXRr0eRz*-Z45C1ud2jmli4ip-P8gCESMmH*I3ukaN6B-q5H-/WEMA.jpg?width=650)
WEMA AFUNGA MWAKA KWA MGONGO WAZI
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Marufuku ‘vimini kanisani’ !! Hali ya Mbunge mgonjwa? Mchawi alivyonaswa mtupu? #StoriKUBWA
Jumatatu imeanza kwa uchambuzi wa stori za Magazetini, hapa ninazo baadhi ya stori hizo kwenye vichwa vya habari vyenye ukubwa wake. Mbunge Leticia Nyerere apumulia mashine baada ya hali yake kiafya kuwa mbaya… Kanisa moja Moshi lapiga marufuku ‘vimini’ na milegezo, zimetimia siku 16 tangu kuapishwa Mawaziri na tayari wametoa matamko 40. Mama mmoja alala […]
The post Marufuku ‘vimini kanisani’ !! Hali ya Mbunge mgonjwa? Mchawi alivyonaswa mtupu? #StoriKUBWA appeared first on...
10 years ago
Dewji Blog26 Oct
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na mgongo wazi duniani yafanyika jijini Dar es salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dkt. Othmani Kiloloma akiwaeleza waandishi wa habari(hawapo pichani) majukumu wanayotekeleza katika kuhakikisha wanakabiliana na tatizo la Mgongo wazi na Vichwa vikubwa ikiwamo kutoa elimu bora kwa madaktari wanaosomea somo hilo, kwenda mikoani kutoa tiba kwa watoto wenye matatizo hayo,wakati wa maadhimisho ya siku ya mtoto wa kichwa kikubwa na na Mgongo wazi duniani jana Jijini Dar es salaam....