WANAOVAA VIMINI, MAVAZI YANAYOBANA MARUFUKU MAHAKAMA YA KINONDONI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imeweka kibano kwa watu wenye mavazi yasiyo na staha kuingia makahamani hapo kwa kuwazuia mlangoni.
Miongoni mwa mavazi ambayo akivaa mtu anazuiwa kuingia si tu ndani ya vyumba vya Mahakama, bali pia kwenye viwanja vyake, ni yanayobana, yanayoacha mgongo wazi, fupi na mashati au blauzi za mikono mifupi.
Hatua hiyo ilianza kutekelezwa takribani wiki tatu zilizopita. Kibano hicho kinamuhusu mtu yeyote mwenye shughuli mahakamani hapo wakiwemo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo17 Jun
Vimini, mgongo wazi marufuku Mahakama ya Kinondoni
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imetoa amri ya kuzuai watu wenye mavazi yasiyo na staha kuingia makahamani hapo.
10 years ago
Habarileo08 Oct
Walimu wanaovaa vimini, vimodo kukiona
HALMASHAURI ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma imesema haitawavumilia walimu walevi, pia walimu wa kike wanaovaa mavazi mafupi na yanayoonesha maungo ya miili yao na walimu wa kiume wanaovaa suruali za kubana ‘vimodo’. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Ofisa Elimu wa Wilaya ya Bahi, Mary Mathew wakati akizungumza na walimu wapya wa shule za msingi kwenye semina elekezi inayohusu utendaji wa kazi zao.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
‘Vimini’ marufuku Uganda
11 years ago
Habarileo20 Feb
Vimini, vitopu marufuku Uganda
RAIS Yoweri Museveni amesaini sheria ambayo inaharamisha mavazi yasiyo ya heshima na picha za utupu. Pia, wanawake wamepigwa marufuku kuvaa nguo fupi - vimini na blauzi fupi – vitopu, ambavyo vinashawishi hisia za ngono, isipokuwa kama vivazi hivyo vitatumika kwa madhumuni ya kutoa elimu au matibabu au kutumika kwenye michezo na utamaduni.
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Vimini marufuku Bunge la Katiba
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Jeans, vimini marufuku serikalini
OFISI ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imepiga marufuku uvaaji wa nguo yoyote inayopingana na maadili ya utumishi wa umma. Kwa mujibu wa waraka huo uliosambazwa kwenye ofisi mbalimbali...
9 years ago
Mwananchi28 Dec
KKKT Karanga yapiga marufuku vimini
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Marufuku ‘vimini kanisani’ !! Hali ya Mbunge mgonjwa? Mchawi alivyonaswa mtupu? #StoriKUBWA
Jumatatu imeanza kwa uchambuzi wa stori za Magazetini, hapa ninazo baadhi ya stori hizo kwenye vichwa vya habari vyenye ukubwa wake. Mbunge Leticia Nyerere apumulia mashine baada ya hali yake kiafya kuwa mbaya… Kanisa moja Moshi lapiga marufuku ‘vimini’ na milegezo, zimetimia siku 16 tangu kuapishwa Mawaziri na tayari wametoa matamko 40. Mama mmoja alala […]
The post Marufuku ‘vimini kanisani’ !! Hali ya Mbunge mgonjwa? Mchawi alivyonaswa mtupu? #StoriKUBWA appeared first on...
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Mahakama za mwanzo marufuku
SERIKALI, imezipiga marufuku Mahakama za Mwanzo kuamua mashauri ya kesi za ardhi kwani jukumu hilo ni la Mabaraza ya Ardhi ya Wilaya. Onyo hilo lilitolewa jana bungeni mjini hapa na...