Mahakama za mwanzo marufuku
SERIKALI, imezipiga marufuku Mahakama za Mwanzo kuamua mashauri ya kesi za ardhi kwani jukumu hilo ni la Mabaraza ya Ardhi ya Wilaya. Onyo hilo lilitolewa jana bungeni mjini hapa na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Nov
Mahakama ya Mwanzo yateketezwa
MAHAKAMA ya Mwanzo ya Riagoro wilayani Rorya mkoani Mara, imechomwa moto na watu wasiojulikana na mali na nyaraka mbalimbali zilizokuwao, zimeteketea.
10 years ago
GPLYALIYOJIRI MAHAKAMA YA MWANZO KINONDONI LEO
Watuhumiwa wakishushwa kwenye gari la Jeshi la Magereza, tayari kwa kusomewa kesi zao mahakamani.
Mmoja wa watuhumiwa akiwa amebebwa na watuhumiwa wenzake kuingizwa mahakamani, haikujulikana mara moja sababu za kubebwa huko kwani askari walikataza…
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-gW6e4EtDHi4/Xm-SIO62pSI/AAAAAAAC8po/OHPOvkKapbQbp3OLA34j9m1A9kUFc3UtwCLcBGAsYHQ/s72-c/3.jpg)
WABUNGE WAKAGUA MAHAKAMA YA MWANZO NGERENGERE
![](https://1.bp.blogspot.com/-gW6e4EtDHi4/Xm-SIO62pSI/AAAAAAAC8po/OHPOvkKapbQbp3OLA34j9m1A9kUFc3UtwCLcBGAsYHQ/s640/3.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-Y688AxfWDI0/Xm-SJgiO4CI/AAAAAAAC8ps/152gI_KdsRwV6x2ta9kW3TJL8eSvkMwEgCLcBGAsYHQ/s640/FC4A6978.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-S6_d-GDxXr4/Xm-SN-0H_KI/AAAAAAAC8p0/IRlJ--B-9BUGg_JMXyf_x8VQqzMDRnaAwCLcBGAsYHQ/s640/FC4A6992.jpg)
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Uchakavu wa mahakama za mwanzo wazua hofu
Baadhi ya majengo ya Mahakama za Mwanzo Mkoa wa Tabora yamechakaa na hivyo kuhatarisha usalama wa maisha ya wananchi wanaokwenda kupata huduma kwenye mahakama hizo na hata wafanyakazi wake.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9Ch_KQSELts/VjoGbPoeyFI/AAAAAAAIEHw/FKeJy1JHx9I/s72-c/images.jpg)
MALALAMIKO YA MAHAKAMA YA MWANZO KUTATULIWA KAMATI MAADILI—DC MAKONDA
![](http://1.bp.blogspot.com/-9Ch_KQSELts/VjoGbPoeyFI/AAAAAAAIEHw/FKeJy1JHx9I/s1600/images.jpg)
Makonda ameyasema leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Makonda amesema kuwa watu wengine wanakosa haki katika mahakama na hawajui wanaweza kupata haki sehemu gani kutokana na mwenendo wa kesi ilivyoendeshwa.
Makonda amesema kamati hiyo inawajibu wa kuangalia mwenendo wa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-zRCvoj_13v8/Xt9TSoyvC7I/AAAAAAALtJY/4WfYYItA2509BH9owJ9FSjHjMKExvMoNACLcBGAsYHQ/s72-c/615f8244-f63f-4ccb-ad5c-cfbe46d3e7c7.jpg)
MAHAKAMA ZA MWANZO GEITA ZASIKILIZA MASHAURI NDANI YA MIEZI MINNE
![](https://1.bp.blogspot.com/-zRCvoj_13v8/Xt9TSoyvC7I/AAAAAAALtJY/4WfYYItA2509BH9owJ9FSjHjMKExvMoNACLcBGAsYHQ/s640/615f8244-f63f-4ccb-ad5c-cfbe46d3e7c7.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/440d9976-2ebb-4186-9483-ace52b1a7e59.jpg)
Jengo la Mahakama ya Wilaya ya Bukombe
********************************
Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha – Bukombe
Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Bukombe, Mhe. Ainawe Moshi amesema kwamba Mahakama za Mwanzo katika Mkoa wa Geita zimejipanga kumaliza mashauri ndani ya kipindi cha miezi minne, licha ya utaratibu uliopangwa wa miezi sita.
...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Tc0kjcbI048/VJGPLKC80oI/AAAAAAAG36g/rW2uJJ0N6gM/s72-c/images.jpg)
NEWS ALERT: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE JOSHUA NASSARI AACHIWA KWA DHAMANA NA MAHAKAMA YA MWANZO YA MAJI YA CHAI
Na Woinde shizza, Arusha
Hakimu David Mwita wa Mahakama ya mwanzo ya Maji ya Chai mkoani Arusha ameahirisha hadi Desemba 24, 2014 kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Mh. Joshua Nassari (pichani), kwa tuhuma za kuharibu mali ya umma yenye dhamani ya shilingi laki mbili, pamoja na kumteka mtu na kumtishia kwa bunduki tukio ambalo anatuhumiwa kufanya Desemba 15, mwaka huu Mahakama hiyo imemuachia Mbunge huyo baada ya kutimiza masharti ya dhamana, ikiwa ni wadhamini...
![](http://3.bp.blogspot.com/-Tc0kjcbI048/VJGPLKC80oI/AAAAAAAG36g/rW2uJJ0N6gM/s1600/images.jpg)
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Mahakama imeafiki marufuku ya Suarez.
Mahakama ya rufaa ya michezo imeafiki marufuku ya miezi 4 dhidi ya mshambulizi wa Barcelona Luis Suarez.
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mahakama yazuia marufuku ya pombe India
Mahakama ya rufaa nchini India imezuia mpango wa jimbo la Kerala Kusini mwa nchi hiyo kupiga marufuku pombe.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania