Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YALIYOJIRI MAHAKAMA YA MWANZO KINONDONI LEO

Watuhumiwa wakishushwa kwenye gari la Jeshi la Magereza, tayari kwa kusomewa kesi zao mahakamani.
Mmoja wa watuhumiwa  akiwa amebebwa na watuhumiwa wenzake kuingizwa mahakamani, haikujulikana mara moja sababu za kubebwa huko kwani askari walikataza…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mahakama ya Mwanzo yateketezwa

MAHAKAMA ya Mwanzo ya Riagoro wilayani Rorya mkoani Mara, imechomwa moto na watu wasiojulikana na mali na nyaraka mbalimbali zilizokuwao, zimeteketea.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mahakama za mwanzo marufuku

SERIKALI, imezipiga marufuku Mahakama za Mwanzo kuamua mashauri ya kesi za ardhi kwani jukumu hilo ni la Mabaraza ya Ardhi ya Wilaya. Onyo hilo lilitolewa jana bungeni mjini hapa na...

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WAKAGUA MAHAKAMA YA MWANZO NGERENGERE


 Muonekano wa jengo jipya la Mahakama ya Mwanzo ya Ngerengere, lililopo katika Wilaya ya Morogoro, ambalo linatarajiwa kuanza kutumika rasmi Aprili 15, mwaka huu. Muonekano wa jengo jipya la Mahakama ya Mwanzo ya Ngerengere, lililopo katika Wilaya ya Morogoro (kulia) linalotarajiwa kuanza kutumika rasmi Aprili 15, mwaka huu  na (kushoto) ni jengo linalotumika  sasa na  mahakama hiyo. Wajumbe wa Kamati ya  Bunge ya Kudumu ya Katiba na Sheria  wakitoka kukagua leo  jengo la sasa la Mahakama ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Uchakavu wa mahakama za mwanzo wazua hofu

Baadhi ya majengo ya Mahakama za Mwanzo Mkoa wa Tabora yamechakaa na hivyo kuhatarisha usalama wa maisha ya wananchi wanaokwenda kupata huduma kwenye mahakama hizo na hata wafanyakazi wake.

 

9 years ago

Michuzi

MALALAMIKO YA MAHAKAMA YA MWANZO KUTATULIWA KAMATI MAADILI—DC MAKONDA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiMKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (Pichani) amesema wananchi ambao hawajaweza kupata haki zao katika mahakama za mwanzo wanaweza kutumia kamati ya maadili.
Makonda ameyasema leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Makonda amesema kuwa watu wengine wanakosa haki katika mahakama na hawajui wanaweza kupata haki sehemu gani kutokana na mwenendo wa kesi ilivyoendeshwa.
Makonda amesema kamati hiyo inawajibu wa kuangalia mwenendo wa...

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA ZA MWANZO GEITA ZASIKILIZA MASHAURI NDANI YA MIEZI MINNE

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Bukombe, Mhe. Ainawe Moshi , akizungumzia maboresho ya mahakama hiyo.

Jengo la Mahakama ya Wilaya ya Bukombe

********************************

Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha – Bukombe

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Bukombe, Mhe. Ainawe Moshi amesema kwamba Mahakama za Mwanzo katika Mkoa wa Geita zimejipanga kumaliza mashauri ndani ya kipindi cha miezi minne, licha ya utaratibu uliopangwa wa miezi sita.

...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI MHE JOSHUA NASSARI AACHIWA KWA DHAMANA NA MAHAKAMA YA MWANZO YA MAJI YA CHAI

Na Woinde shizza, Arusha  Hakimu David Mwita wa Mahakama ya mwanzo ya Maji ya Chai mkoani Arusha ameahirisha hadi  Desemba 24, 2014  kesi inayomkabili Mbunge wa Jimbo la Arumeru  Mashariki Mh. Joshua Nassari (pichani), kwa tuhuma za kuharibu mali ya umma  yenye dhamani ya shilingi laki mbili, pamoja na kumteka mtu na kumtishia kwa bunduki tukio ambalo anatuhumiwa kufanya Desemba 15, mwaka huu Mahakama hiyo imemuachia Mbunge huyo baada ya kutimiza masharti ya dhamana,  ikiwa ni wadhamini...

 

10 years ago

Habarileo

Mahakama yampa DC Kinondoni siku 7

Paul Makonda.MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imetoa siku saba kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paulo Makonda, kuwasilisha utetezi wake dhidi ya kesi ya madai iliyofunguliwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM, Dar es Salaam, John Guninita.

 

11 years ago

Habarileo

Vimini, mgongo wazi marufuku Mahakama ya Kinondoni

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imetoa amri ya kuzuai watu wenye mavazi yasiyo na staha kuingia makahamani hapo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani