Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAHAKAMA ZA MWANZO GEITA ZASIKILIZA MASHAURI NDANI YA MIEZI MINNE

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Bukombe, Mhe. Ainawe Moshi , akizungumzia maboresho ya mahakama hiyo.

Jengo la Mahakama ya Wilaya ya Bukombe

********************************

Na Magreth Kinabo na Innocent Kansha – Bukombe

Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Bukombe, Mhe. Ainawe Moshi amesema kwamba Mahakama za Mwanzo katika Mkoa wa Geita zimejipanga kumaliza mashauri ndani ya kipindi cha miezi minne, licha ya utaratibu uliopangwa wa miezi sita.

...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Utatuzi wa mashauri ya jinai nje ya mahakama — 2

WIKI iliyopita nilieleza lengo la makala hii ni kujifunza mbinu na umuhimu uliopo katika kutatua mashauri ya jinai nje ya mfumo wa mahakama ili kuepuka matatizo niliyokwisha yaainisha hapo juu....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mahakama kumaliza mashauri ya muda mrefu

MAHAKAMA ya Tanzania iko katika mchakato maalumu wa kumaliza mashauri yote ya muda mrefu Kanda ya Dar es Salaam na Tabora. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

HOFU YA MAFURIKO: Mtoto mlemavu afungiwa darini miezi minne Mtwara

>Mtoto Abdul Mohamedi (13) ambaye ni mlemavu wa viungo, amelazimika kuishi darini kwa miezi minne mfululizo kukwepa kudhuriwa na mafuriko kutokana  mvua kubwa zinazoendelea kunyesha mjini Mtwara.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA KUU MUSOMA YAAKUSIKILIZA MASHAURI KWA MTANDAO

Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Musoma Mhe, John Kahyoza akizungumzia matumizi ya Mahakama Mtandao ofisini kwake jana
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Musoma Mhe, Zephrine Galeba ya akiendesha shauri kwa njia ya Mahakama Mtandao katika ukumbi wa Mahakama hiyo jana.
Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma, Mhe.Rahim Mushi akisikiliza shauri kwa njia hiyo.
Picha na Francisca Swai –Mahakama Kuu Musoma.

…………………………………………………………

Na. Francisca Swai-...

 

5 years ago

Michuzi

MASHAURI 157 YAANZA KUSIKILIZWA NA MAHAKAMA YA RUFANI NCHINI

Mawakili wa Serikali na wa kujitegemea wakiwa kwenye chumba cha Mahakama ya wazi kilichopo katika Mahakama ya Rufani Tanzania, Jijini Dar es salaam, kwa ajili kuendeshea mashauri kwa njia ya “Mahakama Mtandao” (kulia) ni Wakili Msomi wa kujitegemea Bw. Clement Kihoko na (kushoto) ni Wakili wa Serikali Mwandamizi Bi. Jenipha Masue.Kifaa maalumu kinachotumika kuendeshea mashauri kwa njia ya Mahakama Mtandao kilicho andaliwa kwa ajili ya kusikilizia mashauri wakati wa vikao vya Mahakama ya...

 

5 years ago

Michuzi

MIAKA MINNE NA MIEZI NANE YA MAFANIKIO, MBUNGE WA MANONGA SEIF KHAMIS GULAMALI AWASHUKURU WANANCHI


 Na Leandra Gabriel, Michuzi TVIKIWA Taifa linaelekea katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba Mwaka huu, mafanikio katika Jimbo la Manonga Wilayani Igunga yameonekana dhahiri na hiyo ni baada ya jitihada zilizofanywa na Mbunge wa Jimbo hilo Seif Khamis Gulamali katika kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) pamoja na kutekeleza ahadi alizoahidi hasa katika sekta ya Elimu na Afya.
Akizungumza na Michuzi Blog Gulamali amewashukuru Wananchi wa Manonga na Wilaya ya Igunga kwa ushirikiano...

 

10 years ago

Michuzi

MAJAJI WA MAHAKAMA YA TANZANIA WAFUNDWA JUU YA USIKILIZAJI WA MASHAURI YA UCHAGUZI

Na Mary Gwera, MahakamaJAJI Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman amewataka Majaji nchini kujiandaa na usikilizaji wa mashauri/kesi za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Hayo yalisemwa katika risala yake iliyosomwa na Mhe. Jaji Edward Rutakangwa, Jaji wa Mahakama ya Rufaa (T) kwa niaba ya Mhe. Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman alipokuwa akifungua rasmi Warsha ya siku mbili (2) ya Uhamasishaji wa Wahe. Majaji juu ya utatuzi wa migogoro ya Uchaguzi “Judges Sensitization...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA RUFANI YAKUTANA NA WADAU WAKE KUTOA MAONI JUU YA KUMALIZA MASHAURI KWA WAKATI

 Baadhi ya Wadau wa Mahakama kutoka Magereza,Ofisi ya DPP, Polisi  wakiwa katika Mkutano wa Majaji wa Mahakama ya Rufani unaolenga katika kupata maoni ya wadau juu ya njia zitakazowezesha kusaidia kumaliza mashauri/rufani zinazoletwa Mahakama ya Rufani kwa wakati.Baadhi ya Wahe. Majaji, Maafisa wa Mahakama pamoja na Wadau wa Mahakama wakiwa katika Mkutano katika majadiliano juu ya Maboresho ya umalizaji wa Mahakama katika ngazi ya Mahakama ya Rufani (T) Kwa muda mrefu Mahakama ya Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani