Walimu wanaovaa vimini, vimodo kukiona
HALMASHAURI ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma imesema haitawavumilia walimu walevi, pia walimu wa kike wanaovaa mavazi mafupi na yanayoonesha maungo ya miili yao na walimu wa kiume wanaovaa suruali za kubana ‘vimodo’. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Ofisa Elimu wa Wilaya ya Bahi, Mary Mathew wakati akizungumza na walimu wapya wa shule za msingi kwenye semina elekezi inayohusu utendaji wa kazi zao.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM17 Jun
WANAOVAA VIMINI, MAVAZI YANAYOBANA MARUFUKU MAHAKAMA YA KINONDONI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam imeweka kibano kwa watu wenye mavazi yasiyo na staha kuingia makahamani hapo kwa kuwazuia mlangoni.
Miongoni mwa mavazi ambayo akivaa mtu anazuiwa kuingia si tu ndani ya vyumba vya Mahakama, bali pia kwenye viwanja vyake, ni yanayobana, yanayoacha mgongo wazi, fupi na mashati au blauzi za mikono mifupi.
Hatua hiyo ilianza kutekelezwa takribani wiki tatu zilizopita. Kibano hicho kinamuhusu mtu yeyote mwenye shughuli mahakamani hapo wakiwemo...
11 years ago
Tanzania Daima10 Jul
Walimu waliojiongezea madai kukiona
SERIKALI imesema itawachukulia hatua walimu wote waliojiongezea madai kwa udanganyifu na kuahidi kuwalipa wale wote wenye madai halali. Kauli hiyo ilitolewa mjini hapa na Waziri wa Tawala za Mikoa na...
11 years ago
Tanzania Daima20 Jul
Wanaovaa hovyo vyuoni kudhibitiwa
SERA ya kudhibiti mavazi yasiyoendana na maadili, yanayovaliwa na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini, inaelezwa itakuwa muarobaini kwa wanafunzi husika. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni, Mkuu wa...
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Wanawake wanaovaa nguo nyekundu huvutia
11 years ago
Habarileo22 Jul
JWTZ yaonya wanaovaa sare zake
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeonya juu ya matumizi ya sare na vifaa vingine vya majeshi kwa watu wasiohusika. Limetangaza kuwa hatua kali za kisheria, zitachukuliwa dhidi ya watu hao.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
‘Vimini’ marufuku Uganda
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*oWdz*jccIObpsGq6W6XfAAbmHyrIx7qvFJZAkWjuQdcJaVaMajwhIXX-BeNZ1u-zt*0q3*hx-wCJpIamlPPNT8/mainda.jpg)
MAINDA AVIKACHA VIMINI
5 years ago
BBCSwahili07 Apr
Virusi vya Corona: Makosa yanayofanywa na watu wanaovaa barakoa za vitambaa