Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAINDA AVIKACHA VIMINI

Stori: Gabriel Ng’osha IMEKAA poa sana! Shosti anayesukuma maisha kupitia mgongo wa filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ ameahidi kufanya mabadiliko ya mavazi kuanzia kwenye filamu hadi maisha yake binafsi. Muigizaji wa filamu za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. Akizungumza na mwandishi wetu, Mainda alisema kuanzia sasa watu wategemee mabadiliko makubwa katika maisha yake kwani ameamua kuvikacha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Vimini’ marufuku Uganda

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametia saini sheria mpya inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na hatia ya kutembea nusu uchi au kuhusika na vitendo vinavyohusisha picha zisizokuwa na maadili kwa jamii.

 

11 years ago

Habarileo

Vimini, vitopu marufuku Uganda

RAIS Yoweri Museveni amesaini sheria ambayo inaharamisha mavazi yasiyo ya heshima na picha za utupu. Pia, wanawake wamepigwa marufuku kuvaa nguo fupi - vimini na blauzi fupi – vitopu, ambavyo vinashawishi hisia za ngono, isipokuwa kama vivazi hivyo vitatumika kwa madhumuni ya kutoa elimu au matibabu au kutumika kwenye michezo na utamaduni.

 

11 years ago

Mwananchi

Vimini marufuku Bunge la Katiba

Wajumbe wanawake wa Bunge Maalumu la Katiba na wageni wa jinsi hiyo watakaovaa nguo fupi ‘vimini’ au nguo za kubana, hawataruhusiwa kuingia ndani ya Ukumbi wa Bunge.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jeans, vimini marufuku serikalini

OFISI ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imepiga marufuku uvaaji wa nguo yoyote inayopingana na maadili ya utumishi wa umma. Kwa mujibu wa waraka huo uliosambazwa kwenye ofisi mbalimbali...

 

10 years ago

Bongo Movies

Thea: Hatuvai Vimini Kusaka Mabwana

MWIGIZAJI Ndumbagwe Misayo maarufu kama Thea, amesema wasanii huvaa sketi fupi ‘vimini’ wakilenga kwenda na wakati na si kujipitisha mbele ya wanaume.

Thea aliiambia Mwanaspoti, kuwa ni kama wanatekeleza wimbo wa mwanamuziki Bwana Misosi ‘Nitoke Vipi’, lakini haimaanishi kwamba wavaaji wote ni wahuni.

“Vimini ni ‘kiki’ tu mjini, watu wengi wanaamini ni sehemu mojawapo ya uvaaji au Nitoke Vipi kama Bwana Misosi alivyosema. Kuna watu wanaamini waigizaji tunaovaa au wanaovaa vimini...

 

10 years ago

Habarileo

Walimu wanaovaa vimini, vimodo kukiona

HALMASHAURI ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma imesema haitawavumilia walimu walevi, pia walimu wa kike wanaovaa mavazi mafupi na yanayoonesha maungo ya miili yao na walimu wa kiume wanaovaa suruali za kubana ‘vimodo’. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Ofisa Elimu wa Wilaya ya Bahi, Mary Mathew wakati akizungumza na walimu wapya wa shule za msingi kwenye semina elekezi inayohusu utendaji wa kazi zao.

 

9 years ago

Mwananchi

KKKT Karanga yapiga marufuku vimini

Usharika wa Karanga wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Dayosisi ya Kaskazini, umepiga marufuku uvaaji wa nguo zisizo na heshima ndani ya kanisa hilo.

 

9 years ago

Global Publishers

Thea atetwa kwa vimini, acharuka!

theaMsanii mkongwe wa fi lamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’Gladness Mallya.

MSANII mkongwe wa fi lamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amejikuta akitetwa akidaiwa kuwa mcharuko kwa kuvaa vimini hasa baada ya kuachana na mumewe, Michael Sangu ‘Mike’.

Kutetwa huko kumeonekana kumkera sana Thea ambaye juzikati akichonga na Ijumaa alisema, anawashangaa wanaomsema vibaya kwani anaamini anaishi maisha anayotaka yeye na wala hakuna anayeweza kumzuia.

“Mimi napenda kuvaa vimini tangu zamani na sasa...

 

11 years ago

GPL

JINI KABULA ACHARUKA VIMINI RAMADHANI

Stori: Chande Abdallah STAA wa sinema za Kibongo, Miriam Mjolwa ‘Jini Kabula’ amecharuka baada ya kukosolewa juu ya mavazi ya mitego, vimini, anayovaa ndani ya mwezi wa Ramadhani. Staa wa sinema za Kibongo, Miriam Mjolwa ‘Jini Kabula’ Baada ya majirani wanaofunga kufikisha malalamiko, paparazi wetu alimvutia waya Jini Kabula na kumsomea mashtaka hayo ambapo alisema kuwa alikuwa lokesheni siku...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani