Thea: Hatuvai Vimini Kusaka Mabwana
MWIGIZAJI Ndumbagwe Misayo maarufu kama Thea, amesema wasanii huvaa sketi fupi ‘vimini’ wakilenga kwenda na wakati na si kujipitisha mbele ya wanaume.
Thea aliiambia Mwanaspoti, kuwa ni kama wanatekeleza wimbo wa mwanamuziki Bwana Misosi ‘Nitoke Vipi’, lakini haimaanishi kwamba wavaaji wote ni wahuni.
“Vimini ni ‘kiki’ tu mjini, watu wengi wanaamini ni sehemu mojawapo ya uvaaji au Nitoke Vipi kama Bwana Misosi alivyosema. Kuna watu wanaamini waigizaji tunaovaa au wanaovaa vimini...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers01 Jan
Thea atetwa kwa vimini, acharuka!
Msanii mkongwe wa fi lamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’Gladness Mallya.
MSANII mkongwe wa fi lamu Bongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amejikuta akitetwa akidaiwa kuwa mcharuko kwa kuvaa vimini hasa baada ya kuachana na mumewe, Michael Sangu ‘Mike’.
Kutetwa huko kumeonekana kumkera sana Thea ambaye juzikati akichonga na Ijumaa alisema, anawashangaa wanaomsema vibaya kwani anaamini anaishi maisha anayotaka yeye na wala hakuna anayeweza kumzuia.
“Mimi napenda kuvaa vimini tangu zamani na sasa...
11 years ago
Mwananchi20 Feb
‘Vimini’ marufuku Uganda
11 years ago
GPLMAINDA AVIKACHA VIMINI
11 years ago
Habarileo20 Feb
Vimini, vitopu marufuku Uganda
RAIS Yoweri Museveni amesaini sheria ambayo inaharamisha mavazi yasiyo ya heshima na picha za utupu. Pia, wanawake wamepigwa marufuku kuvaa nguo fupi - vimini na blauzi fupi – vitopu, ambavyo vinashawishi hisia za ngono, isipokuwa kama vivazi hivyo vitatumika kwa madhumuni ya kutoa elimu au matibabu au kutumika kwenye michezo na utamaduni.
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Vimini marufuku Bunge la Katiba
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Jeans, vimini marufuku serikalini
OFISI ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma imepiga marufuku uvaaji wa nguo yoyote inayopingana na maadili ya utumishi wa umma. Kwa mujibu wa waraka huo uliosambazwa kwenye ofisi mbalimbali...
11 years ago
GPLJINI KABULA ACHARUKA VIMINI RAMADHANI
10 years ago
Habarileo08 Oct
Walimu wanaovaa vimini, vimodo kukiona
HALMASHAURI ya Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma imesema haitawavumilia walimu walevi, pia walimu wa kike wanaovaa mavazi mafupi na yanayoonesha maungo ya miili yao na walimu wa kiume wanaovaa suruali za kubana ‘vimodo’. Kauli hiyo ilitolewa juzi na Ofisa Elimu wa Wilaya ya Bahi, Mary Mathew wakati akizungumza na walimu wapya wa shule za msingi kwenye semina elekezi inayohusu utendaji wa kazi zao.
9 years ago
Mwananchi28 Dec
KKKT Karanga yapiga marufuku vimini