Wanawake wanaovaa nguo nyekundu huvutia
Wanawake wanaovalia mavazi ya rangi nyekundu huwavutia sana wanaume ikilinganishwa na wale wanaovaa mavazi ya rangi nyengine.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio)
Baada ya taarifa kusambaa kuwa Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Nape Nnauye ameatangaza kukamatwa kwa watu wanaovaa nguo fupi na zile za kubana mwili wakamatwe, sasa haya ndio maelezo kamili unapaswa kuyafahamu. Bonyeza Play hapa chini Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ […]
The post Wanaovaa nguo fupi na za kubana kukamatwa? Hii ndio kauli ya Waziri Nape Nnauye…(+Audio) appeared first on...
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Onyo kwa wanaowavua wanawake nguo Kenya
11 years ago
Dewji Blog13 Sep
Wanawake vaeni nguo sasa, kama kuvua mumeshavua imetosha!

MOJA ya sifa ya mwandishi ni kusoma, na katika kusoma huko na kupekua pekua hapa na pale unaweza kujifunza na kupata la kuandika kupitia maandiko ya watu wengine na kutoa elimu kwa umma. Leo nimepita pita katika kurasa za marafiki zangu huko katika uso wa kitabu ‘Facebook nikakutana na nasaha ya ndugu yangu Victory Richard, juu ya kuwasihi wanawake kwamba sasa wavae nguo.
Ndugu yangu yule amechoshwa na tabia za dada zetu, wake zetu na hata mama zetu wakati mwingine wanavyotembea uchi,...
5 years ago
BBCSwahili29 Feb
Mji wa Delhi : Wanawake wakiislamu wazungumzia vile walivyochomewa nyumba na kuvuliwa nguo
11 years ago
CloudsFM12 Jun
WAGANGA WANAOWATIBU WATEJA WAO KWA KUFANYA NAO NGONO WAKAMATWA, WAKUTWA NA NGUO ZA NDANI 22 ZA WANAWAKE HAO
Polisi Mkoa wa Kinondoni, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambao masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alidai vijana hao Juma Hemedi (32) na Abrahman Mulsin, wote wakazi wa Tandika, baada ya kushiriki ngono na wagonjwa wao huwaambia waache nguo za ndani.
Kamanda Kiondo...
9 years ago
Dewji Blog05 Nov
Vyumba vya kupimia nguo kabla ya kununuliwa katika soko la Mchikichini — Ilala jijini Dar vilitumika kudhalilisha wanawake
Wawezeshaji wa Sheria katika soko la Mchikichini katika Manispaa ya Ilala, wakiwa na mabango ya mradi wa Mpe Riziki si Matusi baada ya kuzungumza na waaandishi wa habari Dar es Salaam jana wanaotembelea masoko yaliyopo katika Manispaa hiyo kuona maendeleo ya vita ya kupinga udhalilishaji wa kijinsia katika masoko hayo baada ya Shirika la Equality for Growth linaloendesha mradi huo kutoa mafunzo kwa Wawezeshaji wa Sheria wanaoshirikiana na wafanyabiashara katika vita hivyo.
10 years ago
MichuziVYUMBA VYA KUPIMIA NGUO KABLA YA KUNUNULIWA KATIKA SOKO LA MCHIKICHINI MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR ES SALAAM VILITUMIKA KUDHALILISHA WANAWAKE
10 years ago
BBCSwahili18 Jun
Neymar apewa kadi nyekundu baada ya mechi