WAGANGA WANAOWATIBU WATEJA WAO KWA KUFANYA NAO NGONO WAKAMATWA, WAKUTWA NA NGUO ZA NDANI 22 ZA WANAWAKE HAO
Polisi Mkoa wa Kinondoni, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambao masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alidai vijana hao Juma Hemedi (32) na Abrahman Mulsin, wote wakazi wa Tandika, baada ya kushiriki ngono na wagonjwa wao huwaambia waache nguo za ndani.
Kamanda Kiondo...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Kizimbani kwa kupeleka wanawake Kenya kufanya biashara ya ngono
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.
Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.
Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...
9 years ago
VijimamboKIZIMBANI KWA KUPELEKA WANAWAKE KENYA KUFANYA BIASHARA YA NGONO
WANAWAKE wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kusafirisha mabinti kutoka Tanzania kwenda Kenya kwa ajili ya kuwafanyisha ngono.
Washtakiwa hao Jackline Milinga (23) na Mary Amukowa (29) ambaye ni Mkenya walifikishwa mahakamani hapo jana na kusomewa mashtaka ya kuwasafirisha mabinti 10.
Wakisomewa mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Waliarwande Lema na Wakili wa Serikali, Jackline Nyantori na Selestine Makoba walidaiwa kutenda...
10 years ago
Dewji Blog19 Apr
Singida yawaonya Waganga wa tiba mbadala kutofanya mapenzi na wateja wao wanaowahudimia
Maafisa watendaji wa vijiji,kata,Wenyeviti wa vitongoji pamoja na wenyeviti wa vijiji waliohudhuria kwenye semina elekezi juu ya operesheni tokomeza mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi(albini) na vikongwe iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa kituo cha walimu Ndago.
Na Jumbe Ismailly, Singida
Waganga wa tiba mbadala wilayani Iramba, Mkoani Singida wameshauriwa kutofanya mapenzi na wateja wao wanaoshindwa kulipa gharama za matibabu waliyowapatia na badala yake wafuate sheria, kanuni na...
11 years ago
Habarileo12 Jun
Waganga wa kutibu kwa ngono mbaroni
POLISI Mkoa wa Temeke, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambayo masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.
11 years ago
BBCSwahili09 Jun
7 wakamatwa kwa dhuluma za ngono Misri
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
100 wakamatwa kwa kumvua nguo mwanamke Kenya
10 years ago
Vijimambo08 Oct
KWA NINI WAGANGA WANAWEZA KUWASAIDIA WATU KUWA MATAJIRI WAKATI WAO NI MASIKINI?
Tutajadili kwa nini waganga wanaweza kuwapatia watu wengine dawa au mbinu za kuwa matajiri wakati wao ni masikini. Na pia tutaangalia jinsi ambavyo unaweza kutumia mbinu hizi wanazotumia waganga bila ya wewe kuwa mchawi na ukafikia mafanikio makubwa.
Kila mmoja wetu anaelewa kwamba kuna watu wanakwenda kwa waganga na wanasaidiwa kupata utajiri. Japokuwa utajiri huu...
5 years ago
BBCSwahili25 Feb
Wazazi washtakiwa kwa 'kumruhusu' mtoto wao kuvalia nguo za kike
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Albino:Waganga 32 wakamatwa Tanzania