Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


7 wakamatwa kwa dhuluma za ngono Misri

Wanaume 7 wamekamatwa baada ya kushukiwa kuwadhulumu kiongono mwanamke wakati wa sherehe za kumkabidhi mamlaka Rais Abdul Fattah al Sisi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

US kuzuia dhuluma za ngono jeshini

Baraza la Senate la Marekani limeidhinisha kwa kauli moja mageuzi ya hatua zinazopaswa kuchukuliwa kuhusiana na unyanyasaji wa kimapenzi katika jeshi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanajeshi apatikana na hatia ya dhuluma za ngono

Umoja wa Mataifa umesema mwanajeshi wake wa kutunza amani nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati apatikana na hatia ya dhuluma za kimapenzi

 

11 years ago

BBCSwahili

Misri yataka Youtube kuondoa kanda ya dhuluma

Misri imeomba YouTube kuondoa video ya mwanamke akinyanyaswa kimapenzi katika mkutano wa kisiasa Cairo

 

11 years ago

CloudsFM

WAGANGA WANAOWATIBU WATEJA WAO KWA KUFANYA NAO NGONO WAKAMATWA, WAKUTWA NA NGUO ZA NDANI 22 ZA WANAWAKE HAO

Polisi Mkoa wa Kinondoni, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambao masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alidai vijana hao Juma Hemedi (32) na Abrahman Mulsin, wote wakazi wa Tandika, baada ya kushiriki ngono na wagonjwa wao huwaambia waache nguo za ndani.

Kamanda Kiondo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara 16 wa ngono wakamatwa Moro

Wanawake 14 na wanaume wawili wamehukumiwa kifungo cha nje cha miezi mitatu kwa makosa ya kufanya biashara ya ngono katika maeneo mbalimbali.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

SABA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA UTENGENEZAJI WA NOTI BANDIA ZA DOLA ZA KIMAREKANI WAKAMATWA

Kamishna wa polisi kanda maalum ya Dar es Salaam akionesha noti bandia zilizokamatwaJeshi la Polisi katika Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kukamata kundi la watu saba wanaotengeneza noti bandia za dola ya Kimarekani huko maeneo ya Sinza katika Hotel iitwayo Mombasa Kinondoni, jijini Dar es Salaam. 
Watuhumiwa hao walikamatwa mnamo tarehe 04/8/2014 wakiwa na noti bandia zipatazo 10,640 za dola mia (100) ambazo ni sawa na dola 1,064,000 ambazo ni zaidi ya shilingi za Kitanzania...

 

11 years ago

Habarileo

Dhuluma kwa wakulima yamsikitisha Kinana

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesikitishwa na taarifa ya wakulima wa tumbaku kuhusu dhuluma wanayofanyiwa na vyama vya ushirika na wanunuzi wa tumbaku yao kila msimu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Cosby ashtakiwa kwa dhuluma za kimapenzi

Mwigizaji na mchekeshaji mkongwe wa Marekani Bill Cosby ameshitakiwa kwa kumdhulumu kimapenzi mwanamke anayedai kuwa alibakwa na mwigizaji huyo alipokuwa na umri wa miaka 15.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani