Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dhuluma kwa wakulima yamsikitisha Kinana

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amesikitishwa na taarifa ya wakulima wa tumbaku kuhusu dhuluma wanayofanyiwa na vyama vya ushirika na wanunuzi wa tumbaku yao kila msimu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Kinana akerwa vikwazo kwa wakulima Rukwa

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana, amesema tatizo la wakulima wa Mkoa wa Rukwa, kuwekewa vikwazo na kupangiwa maeneo na muda wa kuuza mazao yao ni lazima liwe historia ili waondokane na umasikini.

 

11 years ago

Michuzi

madaktari walalamikia kutokamilika kwa miradi ya ujenzi vituo vya afya kwa wakati,wakulima wa tumbaku waangusha kilio chao mbele ya Kinana wilayani sikonge

   Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo ya ujenzi wa jengo la upasuaji na Dk.Sylvanus Kabutura Mganga Mfawidhi wa kituo cha afya cha Kata ya Kitunda wilayani Sikonge,Daktari Kabutura  alimueleza Katibu Mkuu wa CCM changamoto kubwa uhaba wa maji katika kituo hicho,na pia kutokamilika kwa jengo kubwa la huduma za upasuaji na huduma nyingine zaidi ya mwaka,jambo ambalo Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana hakufurahishwa nalo,kwani kumekuwepo na malalamiko makubwa kutoka kwa...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA SIKONGE KWA KUHUZUNISHWA NA VILIO VYA DHULMA WANAZOFANYIWA WAKULIMA WA TUMBAKU

Kinana akisoma vijiji vitavyopata umeme wilayani Sikonge mwaka huu wa fedha.  Katibu Mkuu  wa CCM, Kinana akihutubia katika mkutano huo leo Mei 15, 2014, ambapo akijibu Malalamiko ya Wananchi wa Kata ya Kitunda, alielezea kusikishwa kwake na kitendo cha vyama vya ushirika kudaiwa kuwadhulumu bila huruma wakulima wa tumbaku wa Kata hiyo, huku akionyesha kushangazwa kwake na hatua ya  waziri mwenye dhamana na kilimo, Chakula na Ushirika kutotembelea wakulima kusikiliza kero zao na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Cosby ashtakiwa kwa dhuluma za kimapenzi

Mwigizaji na mchekeshaji mkongwe wa Marekani Bill Cosby ameshitakiwa kwa kumdhulumu kimapenzi mwanamke anayedai kuwa alibakwa na mwigizaji huyo alipokuwa na umri wa miaka 15.

 

11 years ago

BBCSwahili

7 wakamatwa kwa dhuluma za ngono Misri

Wanaume 7 wamekamatwa baada ya kushukiwa kuwadhulumu kiongono mwanamke wakati wa sherehe za kumkabidhi mamlaka Rais Abdul Fattah al Sisi.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana- Wakulima watafutiwe masoko

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amehimiza Serikali kuangalia namna ya kusaidia wananchi kutafuta masoko kwa ajili ya mazao.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana aahidi kusaidia wakulima Mponde

>Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi kulitafutia ufumbuzi tatizo la wakulima wa chai katika Jimbo la Bumbuli ndani ya mwezi mmoja ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana: Ruzuku ya pembejeo haijanufaisha wakulima

SERIKALI imeitakiwa kufanya tathimini na kupitia upya mfumo wa ruzuku ya pembejeo katika kilimo, hasa kutokana na kuonesha kushindwa kufanya kazi vizuri katika maeneo mengi nchini.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA WAKULIMA YAMWAGA MIKOPO KWA WAKULIMA

Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye, wakulima wadogo 21,000 walio katika vikundi 89 vya ushirika katika Kata ya Igomaa, mkoani Iringa keshokutwa wanatarajiwa kupatiwa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shbilioni 1 kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) nchini kwa ajili ya maendeleo ya shghuli zao za kilimo. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara wa benki hiyo, Robert Pascal alisema maandalizi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani