Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana aahidi kusaidia wakulima Mponde

>Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi kulitafutia ufumbuzi tatizo la wakulima wa chai katika Jimbo la Bumbuli ndani ya mwezi mmoja ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

 Lowassa aahidi kufungua kiwanda cha chai Mponde

Mgombea Urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA Edward Lowassa amesema wananchi wakimpa ridhaa ya kuwa Rais ndani ya miezi sita atahakikisha kiwanda cha chai cha Mponde kinafunguliwa na kuanza kuwanufaisha wakulima wa zao hilo.

Kiwanda cha chai cha Mponde kilifungwa baada ya wananchi kuingia kwenye mgogoro wa kimaslahi na aliyekuwa mwekezaji wa kiwanda hicho. Taarifa zaidi na mbonea Herman:

Lowassa alikutana na wananchi waliokuwa wakimsubiri ,lakini kabla ya kuzungumza na wananchi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima wa chai Tanga walilia kiwanda cha Mponde

KUTOKANA na wakulima wa chai wilayani Lushoto kukosa sehemu ya kuuza zao lao hilo kwa kipindi cha mwaka mmoja sasa wameamua kutafuta njia za kisheria zaidi. Kiwanda walichokuwa wanakitegemea kuuza...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA ATAKA WALIOSABABISHA MATATIZO KWENYE KIWANDA CHA CHAI MPONDE WAWAJIBIKE SASA HIVI


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wananchi wa kata ya Mbuzii (hawapo pichani).Katibu Mkuu leo alianza ziara yake katika kata ya Mbuzii ambapo alishiriki ujenzi wa ofisi ya chama sehemu ambayo inahistoria kwani ilitumika kwa kufanya mikutano ya harakati za kutafuta Uhuru na ni sehemu iliyojengwa ofisi ya kwanza ya Tanu wilaya ya Lushoto. Wananchi wa kata ya Mbuzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana...

 

10 years ago

GPL

KINANA AWATAKA WALIOSABABISHA HASARA KUFUNGWA KIWANDA CHA CHAI MPONDE, BUMBURI WAWAJIBISHWE HARAKA‏

 Katibu Mkuu wa CCM, akiwapungia wananchi mikono alipowasili kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Mponde, Jimbo la Bunburi, ambapo aliwahakikishia wananchi kulitafutia ufumbuzi tatizo la kufungwa kwa kiwanda cha chai cha Mponde wilayani Lushoto,Mkoani Tanga. Kinana aliwataka viongozi wote wa CCM na Serikali waliohusika kufungwa kwa kiwanda hicho na kuwasababishia adha wananchi kuwajibika wenyewe au kuwajibishwa.…
...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA ATINGA BUMBULI, ANG'AKA KIWANDA CHA CHAI KUFA MPONDE, ATAKA VIONGOZI WALIOHUSIKA WAWAJIBISHWE.













Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika kata ya Mponde, akiwa katika ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua, katika jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto mkoani Tanga,  Septemba 29, 2014.      Akizungumza na mamia ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Kijiji cha Mponde, Kinana ameitaka serikali kuwachukulia hatua za kisheria viongozi wote waliohusika kwa namna moja au nyingine...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SEMA yatumia mil. 25/- kusaidia wakulima

SHIRIKA la Mpango  Endelevu wa Uboreshaji Mazingira (SEMA), limetumia zaidi ya sh milioni 25 kununua vifaa vyenye ujumbe utakaowasaidia wakulima kubadilika ili kuendana na mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yamesemwa...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AAHIDI KUKOMESHA MAPIGANO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI NCHINI

  Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa watu kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo, akiendelea na kampeni zake za kuisaka Ikulu nchini Kote huku akiwaomba Watanzania kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ili aweze kuwatumikia kwa uaminifu mkubwa.
Akitoa hotuba yake katika moja ya mikutano  yake alioufanya katika mji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani