Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KWA NINI WAGANGA WANAWEZA KUWASAIDIA WATU KUWA MATAJIRI WAKATI WAO NI MASIKINI?

Kuna watu ambao wanapata mafanikio makubwa kwa kutumia uchawi. Ila mafanikio yale hayaletwi na uchawi bali imani ya mtu husika. 
Tutajadili kwa nini waganga wanaweza kuwapatia watu wengine dawa au mbinu za kuwa matajiri wakati wao ni masikini. Na pia tutaangalia jinsi ambavyo unaweza kutumia mbinu hizi wanazotumia waganga bila ya wewe kuwa mchawi na ukafikia mafanikio makubwa.
Kila mmoja wetu anaelewa kwamba kuna watu wanakwenda kwa waganga na wanasaidiwa kupata utajiri. Japokuwa utajiri huu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kwa nini watu wanaonyanyaswa hawawaachi wapenzi wao?

Simulizi ya masaibu ya mwanaume aliyenyanyaswa kingono na jinsi alivyojinasua.

 

5 years ago

BBCSwahili

Fahamu kwa nini vijana wanaogopa kuwa watu wazima

Lakini je vijana wa siku hizi wanachukuliaje maisha ya kuanza kuwa mtu mzima?

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji: Tunalala matajiri, tunaamka masikini

 “UPO usemi usemao waweza kulala masikini ukaamkatajiri, lakini sisi wafugaji tulilala matajiri na tukaamka masikini,”. Kauli hiyo inatolewa na wafugaji wa kijiji cha Mapili, Tarafa ya Inyonga, Wilaya ya Mlele...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Sumaye: Kuna tishio la matajiri na masikini kutoelewana


NA MWANDISHI WETU
WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, amesema kuna tishio la kutokea kutoelewana baina ya matajiri na masikini nchini.
Amesema hali hiyo inaweza kusababisha vurugu nchini kama hatua hazitachukuliwa mapema ili kunusuru hali hiyo.
Amesema katika jamii, kuna chuki inayotokana na tofauti kubwa ya kimapato baina ya makundi tofauti, hasa kati ya matajiri wachache na wenye madaraka kwa upande mmoja na masikini walio wengi kwa upande wa pili, ambavyo husababishwa na mfumo mbaya wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Matajiri hulala muda mfupi kuliko masikini?

Wewe ni mtu wa kulala sana? Saa moja usiku upo kitandani, unaamka saa nne asubuhi. Inawezekana ukaendelea kulalamika na kuwanyooshea wengine kidole kwamba ni ‘wachawi’ wanaozuia mafanikio yako, huku wao wakivuna mafanikio.

 

10 years ago

Mwananchi

Kwa nini Watanzania hawana imani na waganga wa jadi?

Kila baada ya hatua chache katika majiji makubwa kama Mwanza, Arusha, Dar es Salaam, Mbeya na Tanga, si ajabu kukutana na mabango ya biashara ya kutibu nguvu za kiume, kukuza sehemu za uume, kuongeza makalio, akili za darasani, nyota ya maisha na magonjwa ya zinaa.

 

11 years ago

CloudsFM

WAGANGA WANAOWATIBU WATEJA WAO KWA KUFANYA NAO NGONO WAKAMATWA, WAKUTWA NA NGUO ZA NDANI 22 ZA WANAWAKE HAO

Polisi Mkoa wa Kinondoni, imewakamata vijana wawili wanaodaiwa kujifanya waganga wanaotoa tiba kwa wanawake, ambao masharti yake ni kushiriki nao ngono bila kinga na kuacha nguo za ndani, ili zifanyiwe dawa zaidi.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alidai vijana hao Juma Hemedi (32) na Abrahman Mulsin, wote wakazi wa Tandika, baada ya kushiriki ngono na wagonjwa wao huwaambia waache nguo za ndani.

Kamanda Kiondo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaume nao wanaweza kunyonyesha watoto wao

Unaingia katika nyumba ya rafiki yako Jumanne Mwesiga na macho yako yanakutana ana kwa ana na Mwesiga akimnyonyesha mtoto wake mchanga mwenye umri wa miezi miwili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani