Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji: Tunalala matajiri, tunaamka masikini

 “UPO usemi usemao waweza kulala masikini ukaamkatajiri, lakini sisi wafugaji tulilala matajiri na tukaamka masikini,”. Kauli hiyo inatolewa na wafugaji wa kijiji cha Mapili, Tarafa ya Inyonga, Wilaya ya Mlele...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Sumaye: Kuna tishio la matajiri na masikini kutoelewana


NA MWANDISHI WETU
WAZIRI Mkuu mstaafu Frederick Sumaye, amesema kuna tishio la kutokea kutoelewana baina ya matajiri na masikini nchini.
Amesema hali hiyo inaweza kusababisha vurugu nchini kama hatua hazitachukuliwa mapema ili kunusuru hali hiyo.
Amesema katika jamii, kuna chuki inayotokana na tofauti kubwa ya kimapato baina ya makundi tofauti, hasa kati ya matajiri wachache na wenye madaraka kwa upande mmoja na masikini walio wengi kwa upande wa pili, ambavyo husababishwa na mfumo mbaya wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Matajiri hulala muda mfupi kuliko masikini?

Wewe ni mtu wa kulala sana? Saa moja usiku upo kitandani, unaamka saa nne asubuhi. Inawezekana ukaendelea kulalamika na kuwanyooshea wengine kidole kwamba ni ‘wachawi’ wanaozuia mafanikio yako, huku wao wakivuna mafanikio.

 

11 years ago

Vijimambo

KWA NINI WAGANGA WANAWEZA KUWASAIDIA WATU KUWA MATAJIRI WAKATI WAO NI MASIKINI?

Kuna watu ambao wanapata mafanikio makubwa kwa kutumia uchawi. Ila mafanikio yale hayaletwi na uchawi bali imani ya mtu husika. 
Tutajadili kwa nini waganga wanaweza kuwapatia watu wengine dawa au mbinu za kuwa matajiri wakati wao ni masikini. Na pia tutaangalia jinsi ambavyo unaweza kutumia mbinu hizi wanazotumia waganga bila ya wewe kuwa mchawi na ukafikia mafanikio makubwa.
Kila mmoja wetu anaelewa kwamba kuna watu wanakwenda kwa waganga na wanasaidiwa kupata utajiri. Japokuwa utajiri huu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji

IMG_0113   Jaji Mh. Richard Mziray akitoa hukumu katika Mahakama ya wazi  katika Kesi zote Mbili ya Kiteto na Kilosa ,ambapo katika Kesi ya Wilaya ya Kiteto alitoa Maamuzi kwamba kulikuwa na umuhimu wa utekelezeji wa Amri ya Mahakama na kuheshimu Amri za Mahakama kuwa Mahakama ilisha tamka kuwa ile ni Hifadhi hivyo inatakiwa kulindwa na kuheshimiwa na ameongeza kuwa kama kungekuwa na kuzingatiwa kwa Sera za Ardhi basi kusingekuwa na Migogoro yote hiyo ametolea mfano pia maeneo ambayo yanatakiwa...

 

9 years ago

Mtanzania

Matajiri maliasili kutumbuliwa

maghembe*Serikali yakusudia kupitia upya bei ya vitalu vya uwindaji

Na Kulwa Karedia

VITA ya utumbuaji majipu iliyoanzishwa na Rais Dk. John Magufuli tangu alipoingia madarakani mwishoni mwa mwaka jana, inazidi kushika kasi, baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, kusema wakati wowote kuanzia sasa Serikali itaanza mchakato wa kupitia upya bei ya umiliki wa vitalu vya  uwindaji, ili kuona kama inakidhi vigezo.

Akizungumza na MTANZANIA jana kuhusu mikakati mbalimbali ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Matajiri Ndanda wachapana

Matajiri wa Ndanda FC wameshindwa kujizuia na kujikuta wakichapana makonde hadharani kwenye mechi ya timu yao dhidi ya JKT Ruvu iliyochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

GPL

WASANII 7 MATAJIRI AFRIKA

Baada ya wiki iliyopita kuwaletea marais ambao watoto wao nao wameshika nafasi hiyo katika nchi zao, leo nakuletea wasanii saba matajiri Afrika. Youssou N’dour: Mkongwe toka Senegal, aliyezaliwa mwaka 1959, ndiye tajiri kwa wanamuziki wa Afrika, akimiliki chombo cha habari kikubwa nchini mwake, ni mwimbaji, mtunzi mwigizaji, mfanyabiashara na mwanasiasa, aliwahi pia kuwa Waziri wa Utamaduni na Maliasili nchini...

 

11 years ago

GPL

MARAIS 9 MATAJIRI AFRIKA

1. Rais Equardo Jose Dos Anashika nafasi ya juu kwa marais wa Afrika kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 20.
2.Mohamed VII Rais wa Morocco anamiliki utajiri wa dola bilioni 2.5 za Kimarekani.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani