Matajiri Ndanda wachapana
Matajiri wa Ndanda FC wameshindwa kujizuia na kujikuta wakichapana makonde hadharani kwenye mechi ya timu yao dhidi ya JKT Ruvu iliyochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bf3qBTWMVA*8GlJn-yChe75DKmH-7q3aL8eRrq8blWyCzTD5YeLkDHVgtXl8cTTRL-T9T6nl08o9fciE82diB4Bf8k5HXzZz/wema.jpg?width=650)
WEMA, DIAMOND WACHAPANA
11 years ago
Habarileo08 Jan
Watuhumiwa, askari wachapana makonde
WATUHUMIWA juzi walizua kizaa zaa katika Mahakama ya Mwanzo mjini Sumbawanga mkoani Rukwa baada ya kupigana na askari Polisi, wakigoma kukamatwa tena baada ya kuachiliwa huru na Mahakama.
10 years ago
Habarileo23 Oct
Chadema wachapana makonde Kahama
UCHAGUZI wa ndani wa Chama cha Chadema wilayani Kahama mkoani Shinyanga umeingia dosari baada ya baadhi ya wagombea na wanachama kuchapana makonde kupinga kuenguliwa kwa baadhi ya majina ya wagombea katika uchaguzi wa Baraza la Vijana wa chama hicho (BAVICHA).
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Wafuasi Chadema, CCM wachapana makonde
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Wachapana makonde kisa Gazeti la Championi
Wafanyakazi wa Global Publishers wakati wa uzinduzi wa Shinda Nyumba katika ofisi za Global Bamaga , Mwenge.
Aplina Philipo, Mbeya
SHINDANO la bahati nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers, juzi lilisababisha ‘majibaba’ wawili kurushiana makonde kisa kikiwa ni kugombea Gazeti la Championi ambalo lina kuponi maalum ya bahati nasibu hiyo.
Tukio hilo la aina yake lilitokea maeneo ya Kituo cha Daladala cha Kabwe jijini hapa, ambapo wanaume hao ambao majina yao...
10 years ago
Vijimambo13 Feb
AFRIKA KUSINI WACHAPANA MAKONDE NDANI YA KIKAO CHA BUNGE
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/02/12/150212223958_south_africa__640x360_reuters_nocredit.jpg)
Bunge la Afrika kusini liligeuka kuwa uwanja wa vita ambapo wabunge wa upinzani ilifikia hatua ya kuvutana mashati na maafisa wa usalama na kufanya wabunge wa upinzani wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) wakiongozwa na Julias Malema kutolewa nje ya ukumbi wa bunge kwa nguvu na baadae wabunge wengine wa upanzani nao wakatoka nje ya ukumbi.Sakata hilo lilizuka wakati Rais wa nchi hio Jacob Zuma alipokuwa akilihutubia...
9 years ago
Habarileo01 Jan
Simba yaivaa Ndanda FC
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba leo wanauanza mwaka mpya na mchezo wa 13 wa Ligi Kuu Tanzania bara ugenini kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaoni Mtwara dhidi ya wenyewe wao Ndanda.
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Hali yachafuka Ndanda FC
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Ndanda FC yarudi kwao