Hali yachafuka Ndanda FC
Saa chache tangu uongozi wa Ndanda FC kumtupia virago kocha wake mkuu, Dennis Kitambi na kocha wa makipa Muharami Mohammedi, katibu mkuu wa timu hiyo, Edmund Njowoka ametangaza kutaka kuachia ngazi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-cF7pN79h-ZI/UxhnUYhuGjI/AAAAAAAFRY0/Py4QItuJZhI/s72-c/DSC_0152.jpg)
HALI YA HEWA YACHAFUKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
Semina ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba leo imelazimika kuahairishwa baada ya kuibuka vurugu ndani ya ukumbi wa Bunge.
Zogo hilo liliumuka baada ya kuibuka kwa mvutano baina ya wajumbe uliosababishwa na kutuhumiana kwamba zipo dalili za upendeleo wanazofanyiwa baadhi ya wajumbe kutokana na sababu za kiitikadi za vyama.
Hali hiyo ya hewa ilichafuka baada ya kuibuka kwa mvutano baina ya Mjumbe Mhe. Christopher Ole Sendeka ambaye aliingia katika mvutano na Mjumbe wa Kamati ya...
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Ndanda FC, Mbeya City mkubali hali halisi
Ninawakaribisha katika kona hii ya hoja kuzungumza machache kuhusiana na michezo yetu.
Tanzania ni nchi yenye watu zaidi ya 45 milioni kwa mujibu wa sensa ya 2012, lakini inashangaza hatuna hata maendeleo katika mchezo wowote.
11 years ago
Mwananchi10 Feb
Taswira ya Tanzania yachafuka nchini Uingereza kwa ujangili
>Wakati Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kwenda London Uingereza kuhudhuria mkutano wa kuokoa viumbe vilivyo hatarini kutoweka duniani ukianza wiki hii, tatizo la ujangili limeweka wingu zito kwa Tanzania.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s72-c/uk-met.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-jUsys5IIb-Q/VIWWTCotiOI/AAAAAAADRKQ/czUQxGXW8lo/s1600/uk-met.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-s6H8gBDNMEY/VIVjIbUrWrI/AAAAAAAG16A/Rbr5217A81c/s72-c/unnamed%2B(68).jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza (UK Met Office) wamesaini mkataba wa makubaliano ya uboreshaji huduma za hali ya hewa hapa nchini. Mkataba huo umesainiwa tarehe 11 Novemba, 2014 wakati wa kikao cha masuala ya hali ya hewa (IBCS) kilichofanyika mjini Geneva Uswiss.
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dI86Jb1Ntjw/Uw78mXtTIeI/AAAAAAAADcY/zQt2sUE5EVw/s72-c/Image3372.jpg)
SOKO KUU LA SANYA JUU MKOANI KILIMANJARO HALI SI HALI
![](http://4.bp.blogspot.com/-dI86Jb1Ntjw/Uw78mXtTIeI/AAAAAAAADcY/zQt2sUE5EVw/s1600/Image3372.jpg)
Sanya Juu ni mji mdogo ndani ya wilaya Siha Mkoani Kilimanjaro ikiwa ni Km 25 toka Bomang'ombe na KM 50 toka Moshi Mjini, weekend hii nilifanikiwa kuutembelea Mji wa Sanya Juu ambapo siku ya Jumamosi mji huu huwa umechangamka kwa shamrashamra za kibiashara. katika pita pita zangu nilifanikiwa kulitembelea soko la mji huo, ila nilishangazwa na hali niliyo ikuta ya miundombinu isiyo kidhi na kulifanya soko kuonekana hatarishi kwawafanya biashara na wateja wao kiafya. Huu ni msimu wa...
9 years ago
Habarileo01 Jan
Simba yaivaa Ndanda FC
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba leo wanauanza mwaka mpya na mchezo wa 13 wa Ligi Kuu Tanzania bara ugenini kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaoni Mtwara dhidi ya wenyewe wao Ndanda.
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Ndanda FC yarudi kwao
Ndanda iliyopanda daraja msimu huu inarejea kwa mara ya kwanza kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona kuikabili Ruvu Shooting, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Dennis Kitambi akiwataka mashabiki kuujaza uwanja ili wapate ushindi wa kishindo.
9 years ago
TheCitizen02 Jan
Simba win 1-0 against Ndanda
Simba Sports Club yesterday posted a 1-0 victory against Ndanda Football Club in Mtwara in the ongoing Tanzania Mainland Vodacom Premier League match at Nangwanda Stadium.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania