Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HALI YA HEWA YACHAFUKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Semina ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba leo imelazimika kuahairishwa baada ya kuibuka vurugu ndani ya ukumbi wa Bunge.  Zogo hilo liliumuka baada ya kuibuka kwa mvutano baina ya wajumbe uliosababishwa na kutuhumiana kwamba zipo dalili za upendeleo wanazofanyiwa baadhi ya wajumbe kutokana na sababu za kiitikadi za vyama.  Hali hiyo ya hewa ilichafuka  baada ya kuibuka kwa mvutano baina ya Mjumbe Mhe. Christopher Ole Sendeka ambaye aliingia katika mvutano na Mjumbe wa Kamati ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RASIMU KATIBA ILIYOPENDEKEZWA YAWASILISHWA RASMI LEO KATIKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi, Mhe. Andrew Chenge (kushoto) akiwasili bungeni kwa ajili ya kuwasilisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, leo 24 Septemba, 2014. Kulia ni mjumbe wa Bunge hilo, Dkt. Tulia Ackson. Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta akiongoza bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Bunge Maalu la Katiba, Mhe. Andrew Chenge akiwasilisha Rasimu iliyopendekezwa ndani ya bunge hilo leo 24 Septemba, 2014 mjini...

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba,Mhe.Pandu Amir Kificho akiwa amesimama kutoa muongozo wakati wa kikao kilichofanyika jioni ya leo,Bungeni Mjini Dodoma. Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe.  Job Ndugai akibadilishana mawazo na Waziri wa Afrika Mashariki,Mhe.Samweli Sitta. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Anna Makinda akiteta jambo na Waziri wa Katiba na Sheria,Mhe. Dkt. Asha-Rose Migiro. Katibu wa wa Bunge la  la Jamhuri ya Muungano wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Mjumbe wa Bunge la Katiba na Mwenyekiti wa Timu ya Simba Ismail Aden Rage akiwaonyesha wajumbe wa Bunge hilo Kadi ya ATM kupitia Benki ya Posta inayotumiwa na wanachama wa Simba. Wengine ni Richard Ndasa(kulia), Khalifa Suleman Khalifa (wa pili kushoto) naMurtaza Mangunga(kushoto). Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomas Kashililah (kushoto) akibadilishana mawazo na Mjumbe wa Bunge la Katiba William Lukuvi(kulia) . Mjumbe wa Bunge la Katiba Joshua Nasari(kulia)...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta  na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,  Bungeni mjini Dodoma Machi 3,2014. Kushoto ni Kingunge Ngombale-Mwiru, Kulia ni Freeman Mbowe na Wapili kulia ni James Mbatia Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge  mjini Dodoma leo Machi 3, 2014 baada ya kusitishwa shughuli za Bunge Maalum  la Katiba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI ZA BUNGE LA KATIBA ZAKUTANA MJINI DODOMA LEO

Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 11 ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Hamad Yussuf Massauni akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake.Kulia ni Katibu wa Kamati hiyo Bakari Kishoma.Baadhi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa Kamati Namba 11 wakiwa wanaendelea na kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma leo kwenye ukumbi wa mikutano wa St. Gasper.Mwenyekiti wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalum la Katiba,...

 

11 years ago

GPL

KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa (katikati), Andrew Chenge (kulia) na James Mbatia wakiteta jambo bungeni mjini Dodoma leo Machi 31, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Anne Makinda ambaye ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akibadilishana mawazo na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Kificho ndani ya bunge leo.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani