WEMA, DIAMOND WACHAPANA
![](http://api.ning.com:80/files/bf3qBTWMVA*8GlJn-yChe75DKmH-7q3aL8eRrq8blWyCzTD5YeLkDHVgtXl8cTTRL-T9T6nl08o9fciE82diB4Bf8k5HXzZz/wema.jpg?width=650)
Stori: WAANDISHI WETU Tayari kimenuka! Habari ya mjini wikiendi iliyopita ni madai ya njiwa wapendanao Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ na Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuchapana makofi laivu, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa. Diamond. TIMBWILI STUDIO Kwa mujibu wa shuhuda wetu aliyekuwa eneo la tukio, timbwili hilo la haja lilijiri usiku mnene kwenye studio ya kurekodia nyimbo za...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies14 Aug
"Kimenuka kwa Diamond" Mashabiki wa Wema wamtaka aache 'kumtumia' Wema kibiashara.
Kundi la watu wanaojiita mashabiki wa Wema Sepetu, limeanzisha kampeni kwenye mtandao mmoja wa maarufu wa kijamii kampeni iliyopewa jina la #BringBackOurWema likimshinikiza mpenzi wake Diamond Platnumz amrudishe kwenye maisha yake ya zamani na kukuza career yake ya filamu.
Mashabiki hao wanaamini kuwa Diamond anampoteza Wema na amekuwa akitumia umaarufu wake (Wema) kujidhatiti zaidi yeye huku Miss Tanzania huyo wa zamani akiendelea kudidimia.
Hivi ndivyo maelezo...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Vijimambo10 Jun
SUPER STAR DIAMOND AFUNGUKA LIVE: BORA NIFE KULIKO KUMRUDIA WEMA, WEMA NAYE AJIBU MASHAMBULIZI ILE MBAYA
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)
KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu ‘Madam’ kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena, Risasi Jumamosi lina mkanda kamili.
![](http://api.ning.com/files/sT-mI3qB-hd0YVE-1L3jrO35VuXlfCHa8GPFsghter64FISojx1YI8f9jEWQzHOXg3KQF*1lvwUKrNWc8ymR7uFBTIA7tm3r/diamond211.jpg?width=650)
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s72-c/meninah.jpg)
Wema Sepetu Atoswa ! Vikao Vya Harusi Ya Diamond Na Meninah Vyaanza Nyumbani Kwa Mama Diamond.
![](http://3.bp.blogspot.com/-9GRF6qSFToU/VB6-Q0Rz4QI/AAAAAAAAcA0/jRXKaIf9wm8/s640/meninah.jpg)
10 years ago
Mwananchi11 Nov
Matajiri Ndanda wachapana
10 years ago
Habarileo23 Oct
Chadema wachapana makonde Kahama
UCHAGUZI wa ndani wa Chama cha Chadema wilayani Kahama mkoani Shinyanga umeingia dosari baada ya baadhi ya wagombea na wanachama kuchapana makonde kupinga kuenguliwa kwa baadhi ya majina ya wagombea katika uchaguzi wa Baraza la Vijana wa chama hicho (BAVICHA).
11 years ago
Habarileo08 Jan
Watuhumiwa, askari wachapana makonde
WATUHUMIWA juzi walizua kizaa zaa katika Mahakama ya Mwanzo mjini Sumbawanga mkoani Rukwa baada ya kupigana na askari Polisi, wakigoma kukamatwa tena baada ya kuachiliwa huru na Mahakama.