Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII 7 MATAJIRI AFRIKA

Baada ya wiki iliyopita kuwaletea marais ambao watoto wao nao wameshika nafasi hiyo katika nchi zao, leo nakuletea wasanii saba matajiri Afrika. Youssou N’dour: Mkongwe toka Senegal, aliyezaliwa mwaka 1959, ndiye tajiri kwa wanamuziki wa Afrika, akimiliki chombo cha habari kikubwa nchini mwake, ni mwimbaji, mtunzi mwigizaji, mfanyabiashara na mwanasiasa, aliwahi pia kuwa Waziri wa Utamaduni na Maliasili nchini...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MARAIS 9 MATAJIRI AFRIKA

1. Rais Equardo Jose Dos Anashika nafasi ya juu kwa marais wa Afrika kwa kuwa na utajiri wa dola bilioni 20.
2.Mohamed VII Rais wa Morocco anamiliki utajiri wa dola bilioni 2.5 za Kimarekani.…

 

9 years ago

Mwananchi

Matajiri 50 wanaoongoza Barani Afrika

Kudorora kwa uchumi katika baadhi ya nchi za Afrika, kumesababisha kupungua kwa idadi ya mabilionea wapya walioingia kwenye orodha ya 50 bora mwaka huu.

 

10 years ago

GPL

NIGERIA; KISIMA CHA MATAJIRI AFRIKA

Mfanyabiashara Mnigeria, Aliko Dangote. Nyemo chilongani
Unapoizungumzia Nigeria mbele za watu, wengine wanajua kwamba unaizungumzia moja ya nchi iliyojaza matapeli wengi wa mitandaoni huku wengine wakijua unaizungumzia nchi iliyokuwa na wasomi wengi barani Afrika, ila kwa wengine, watajua kwamba unaizungumzia nchi yenye matajiri wengi katika bara hili. ‘P Square’. Nchi hii iliyopo Afrika Magharibi ndiyo nchi...

 

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio list mpya ya wanasoka kumi wa Afrika matajiri 2015 ….

Headlines za mishahara yao mikubwa wanayolipwa katika soka najua umeshaizoea kwa sasa mtu wangu, katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na list mpya ya wanasoka matajiri barani Afrika, katika list hii hakuna sura ngeni sana bado watu wameendelea kumiliki utajiri wao kama kawaida. List hii inaoongozwa na Samuel Eto’o jamaa ambaye amewahi kutwaa tuzo ya […]

The post Hii ndio list mpya ya wanasoka kumi wa Afrika matajiri 2015 …. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Doroth Masuka: Wasanii wa Afrika tujivunie Afrika yetu

DOROSiNA FESTO POLEA

MWANAMUZIKI mkongwe kutoka Afrika Kusini, Dorothi Masuka, amewataka wasanii wanaotoka nchi za Afrika wasisahau kusifia bara lao la Afrika kwa kutaja majina ya nchi wanazotoka tu.

Mkongwe huyo aliliambia MTANZANIA kwamba, wasanii wengi huwa wanatumia muda mwingi kutangaza majina ya nchi zao wanasahau kuitangaza Afrika ili kuimarisha mshikamano wa umoja na utaifa wao.

“Ukiwa Afrika unatakiwa kujivunia na kujitangaza sisi sote ni wasanii kutoka Afrika, kwanini huwa hatujinadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani