Hii ndio list mpya ya wanasoka kumi wa Afrika matajiri 2015 ….
Headlines za mishahara yao mikubwa wanayolipwa katika soka najua umeshaizoea kwa sasa mtu wangu, katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na list mpya ya wanasoka matajiri barani Afrika, katika list hii hakuna sura ngeni sana bado watu wameendelea kumiliki utajiri wao kama kawaida. List hii inaoongozwa na Samuel Eto’o jamaa ambaye amewahi kutwaa tuzo ya […]
The post Hii ndio list mpya ya wanasoka kumi wa Afrika matajiri 2015 …. appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Hadi June 2011, hii ndio ilikuwa list ya wanasoka wenye uwezo wa kupiga mashuti duniani (+Video)
Imekuwa ni kawaida kukumbushana vitu mbalimbali vinayohusu soka mtu wangu wa nguvu na leo December 22, nimeona sio vibaya nikikusogezea list ya mastaa wa soka waliotamba na ambao bado wanatamba kwa kupiga mashuti makali golini mwa timu pinzani. Hii ndio list ya mastaa watano wa soka wanaongoza kwa kupiga mashuti golini. Roberto Carlos hakuna ambaye hamfahamu huyu […]
The post Hadi June 2011, hii ndio ilikuwa list ya wanasoka wenye uwezo wa kupiga mashuti duniani (+Video) appeared first on...
9 years ago
MillardAyo28 Dec
List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili …
Ikiwa ni siku kadhaa zimepita toka gazeti la Hispania la Marca litangaze list ya wachezaji kumi bora kwa mwaka 2015 ikiongozwa na Lionel Messi ikifuatiwana Neymar na Cristiano Ronaldo kutajwa kuwa nafasi ya nane. December 27 Lionel Messi ametajwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2015 (Globe Soccer Awards) inayotolewa kila mwaka. Globe Soccer Awards […]
The post List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo01 Jan
Hii ndio list ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015, Cheki video hapa …
Mtu wangu wa nguvu hongera na kheri ya mwaka mpya, licha ya kuanza kwa mwaka 2016 ila mwaka 2015 ulikuwa na mambo mengi ya kukumbukwa katika kila kitu. ila mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee TOP 10 ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015. Stori kutoka 101greatgoals.com hii ndio list ya magoli yenye mvuto na […]
The post Hii ndio list ya magoli 10 bora yaliofungwa kwa mwaka 2015, Cheki video hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
CloudsFM03 Aug
Hii ndio list ya wasanii watakao panda kwenye jukwaa la Fiesta Mwanza 2014
Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.
Diamond Platinumz
Shaa
Mkubwa na Wanae
Young Killer
Ney Wa Mitego
Mr Blue
Linah
Makomando
Madee
Young Dee
Super Nyota
Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wangu wa Mwanza kaeni tayari tutakutana maeneo ya huko
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-_VRPZ16Qxow/VgoFr0uvMKI/AAAAAAAAAxY/1m2r3_ksmYU/s72-c/IYK-Flier-Oct-04.png)