Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hii ndio list ya wasanii watakao panda kwenye jukwaa la Fiesta Mwanza 2014

Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.

Diamond Platinumz
Shaa
Mkubwa na Wanae
Young Killer
Ney Wa Mitego
Mr Blue
Linah
Makomando
Madee
Young Dee
Super Nyota

Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wangu wa Mwanza kaeni tayari tutakutana maeneo ya huko

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

HII NDIYO LIST YA WASANII WATAKAOPAFOMU KWENYE JUKWAA LA FIESTA KAHAMA/BUKOBA.

Baada ya Mwanza kukata utepe wa Serengeti fiesta ya mwaka huu kwa siku ya jumamosi. harakati za kusambaza upendo sasa zinahamia bukoba kwa siku ya ijumaa hii ya tarehe 15 mwezi huu, na kahama ambapo itakuwa siku ya jumapili ya tarehe 17 mwezi huu. sasa nikupe mchongo wa mastaa wako utakaoweza kuwashuhudia; Ommy Dimpoz,
Young Killer,
Barnaba,
Madee,
Jux,
Ney wa Mitego,
Stamina,
Mr. Blue,
Recho,
Linah,
Super Nyota,
Khadija wa Maumivu na
BK sunday. kumbuka, shangwe hili lote utaweza kulifaidi...

 

11 years ago

Bongo5

Serengeti Fiesta 2014 Mwanza: Wasanii wazungumza na waandishi wa habari (Picha)

Baadhi ya wasanii waliowasili jijini Mwanza kwaajili ya show ya Serengeti Fiesta 2014 itakayofanyika Jumamosi (August 9) katika uwanja wa CCM Kirumba, Ijumaa hii wamekutana na kuzungumza na waandishi wa habari jijini humo. Nay wa Mitego Miongoni mwa wasinii waliowasili tayari ni pamoja na Nay wa Mitego, Chege,Makomando, Linah, Mr Blue, Nyandu Tozi, Young Killer […]

 

10 years ago

Vijimambo

SERENGETI FIESTA YAWATAMBULISHA T.I, DAVIDO, VICTORIA KIMANI NA WENGINEO LEO KABLA YA KUPANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA MUDA MFUPI UJAO

Msanii TI akiingia katika Ukumbi wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kufanya mkutano na waandishi wa Habari kabla ya kupanda kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta muda mfupi ujaoMkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Bw Steve Ganon akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar wakati timu nzima ya Serengeti na Prime Time Promotions ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Fiesta walipokuwa...

 

9 years ago

MillardAyo

List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili …

Ikiwa ni siku kadhaa zimepita toka gazeti la Hispania la Marca litangaze list ya wachezaji kumi bora kwa mwaka 2015 ikiongozwa na Lionel Messi ikifuatiwana Neymar na Cristiano Ronaldo kutajwa kuwa nafasi ya nane. December 27 Lionel Messi ametajwa kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2015 (Globe Soccer Awards) inayotolewa kila mwaka. Globe Soccer Awards […]

The post List ya washindi wa tuzo za Globe Soccer Awards 2015, Lionel Messi kashinda, hii ndio list kamili … appeared first on...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo, Original Komedi na Wasanii kibao kutikisa jiji la Mwanza kwenye tamasha la Welcome Pack jumamosi hii

5

Meneja wa Bidhaa wa Tigo Bw. Edwin Mgoa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza tamasha kubwa la Tigo welcome pack litakalofanyika uwanja wa ccm Kirumba jijini Mwanza Jumamosi ya wiki hii, tamasha hili litaweza kuwapa wananchi fursa ya kupata maelezo ya kina kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na kampuni ya Tigo.

1

Msanii wa kundi la Original Komedi Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja akitoa vionjo kwenye mkutano wa waandishi wa habari(hawapo pichani) kwa ajili...

 

11 years ago

Dewji Blog

Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza

02 (1)

Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa  tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani