Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii nyota watakao nogesha JEMBEKA FESTIVAL 2015, Mwanza hawa hapa!

jembeka7

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MAKAMUZI YA JEMBEKA FESTIVAL MWANZA

Diamond Platnumz katika stage la Tamasha kubwa la burudani linalokwenda kwa jina la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata.Diamond Platnumz akimlisha keki Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe Dr. Sebastian Ndege ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa Jembe Fm 93.7 Mwanza,...

 

10 years ago

Michuzi

MWANZA NA MAKAMUZI YA JEMBEKA FESTIVAL OYOMBA YES!!!! PART TWO

Diamond Platnumz katika stage la Tamasha kubwa la burudani linalokwenda kwa jina la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata.Diamond Platnumz akimlisha keki Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe Dr. Sebastian Ndege ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa Jembe Fm 93.7 Mwanza,...

 

10 years ago

Dewji Blog

PHOTOS: Mwanza na makamuzi ya Jembeka Festival Oyomba Yes!!!! Part Two

Diamond Platnumz katika stage la Tamasha kubwa la burudani linalokwenda kwa jina la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata. Diamond Platnumz akimlisha keki Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe Dr. Sebastian Ndege ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa Jembe Fm 93.7...

 

10 years ago

Michuzi

JEMBEKA FESTIVAL TUKIO LINALOSUBIRIWA KWA HAMU NA WAKAZI WA MWANZA


BOFYA HAPA KUONA WENGINE WATAKAOSHIRIKI KWENYE TAMASHA HILO

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA AWALI ZA TAMASHA KUBWA LA BURUDANI 'JEMBEKA FESTIVAL 2015

Mmoja wa wasanii washindani wa Mkali Jembeka akionesha ufundi wake katika hip hop kwenye fainali ndani ya Tamasha kubwa la burudani 'JEMBEKA FESTIVAL' lililozinduliwa Jumamosi ya tarehe 23/05/2015 uwanja wa CCM Kirmba jijini Mwanza na kuhudhuriwa na maelfu ya watu.  Shengwe za wananchi kwa tamasha lililopigwa tangu saa 7 mpaka asubuhi siku iliyofuata na hapa ni mapema kabisa ngoma saa tisa huku burudani zikiwa tayari zimeshika kasi.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

CloudsFM

Hii ndio list ya wasanii watakao panda kwenye jukwaa la Fiesta Mwanza 2014

Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.

Diamond Platinumz
Shaa
Mkubwa na Wanae
Young Killer
Ney Wa Mitego
Mr Blue
Linah
Makomando
Madee
Young Dee
Super Nyota

Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wangu wa Mwanza kaeni tayari tutakutana maeneo ya huko

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani