Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HII NDIYO LIST YA WASANII WATAKAOPAFOMU KWENYE JUKWAA LA FIESTA KAHAMA/BUKOBA.

Baada ya Mwanza kukata utepe wa Serengeti fiesta ya mwaka huu kwa siku ya jumamosi. harakati za kusambaza upendo sasa zinahamia bukoba kwa siku ya ijumaa hii ya tarehe 15 mwezi huu, na kahama ambapo itakuwa siku ya jumapili ya tarehe 17 mwezi huu. sasa nikupe mchongo wa mastaa wako utakaoweza kuwashuhudia; Ommy Dimpoz,
Young Killer,
Barnaba,
Madee,
Jux,
Ney wa Mitego,
Stamina,
Mr. Blue,
Recho,
Linah,
Super Nyota,
Khadija wa Maumivu na
BK sunday. kumbuka, shangwe hili lote utaweza kulifaidi...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

Hii ndio list ya wasanii watakao panda kwenye jukwaa la Fiesta Mwanza 2014

Msimu wa Fiesta 2014 umeshaanza na show ya kwanza itafanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba tarehe 9/8/2014o siku ya Jumamosi. Hii ni list ya wasanii watakaofanya show kwenye jukwaa la Fiesta.

Diamond Platinumz
Shaa
Mkubwa na Wanae
Young Killer
Ney Wa Mitego
Mr Blue
Linah
Makomando
Madee
Young Dee
Super Nyota

Pamoja na suprise mbalimbali kwenye jukwaa hilo. Watu wangu wa Mwanza kaeni tayari tutakutana maeneo ya huko

 

10 years ago

Vijimambo

SERENGETI FIESTA YAWATAMBULISHA T.I, DAVIDO, VICTORIA KIMANI NA WENGINEO LEO KABLA YA KUPANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA MUDA MFUPI UJAO

Msanii TI akiingia katika Ukumbi wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kufanya mkutano na waandishi wa Habari kabla ya kupanda kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta muda mfupi ujaoMkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Bw Steve Ganon akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar wakati timu nzima ya Serengeti na Prime Time Promotions ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Fiesta walipokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WATUA BUKOBA TAYARI KWA UFUNGUZI WA FIESTA 2014 LEO UWANJA WA KAITABA

Msanii OMMY DIMPOZ na wenzake wakishuka kwenye Ndege aina ya Precision leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege Mjini Bukoba tayari kwa kukamua vilivyo katika mwendelezo wa Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta, Tamasha linalotarajiwa kufanyika leo Ijumaa kwenye uwanja wa Kaitaba hapa Bukoba.Wasanii hao pamoja na watangazaji na wafanyakazi wengine wameingiatayari Bukoba wakitokea jijini Mwanza. Picha na Faustine Ruta wa bukobasports.comWasanii wakishuka kwenye Ndege tayari kwa Fiesta kesho Ijumaa.

 

11 years ago

CloudsFM

Wasanii wakifanya yao kwenye jukwaa la Jamhuri Dodoma #TanzaniaNaiamini

Diamond Platnumz ni mmoja ya wasanii ambao kiukweli walifanya show kali sana, uwanja mzima ulikuwa full kelele kinoma noma  yan wasanii zaidi ya 50 wakiwemo Bongo Movie walifanya yao... Ashlay...

Mh. Temba na Chegge

Diamond

Diamond Diamond na Martin Kadinda

Godzillah...

Madee na Raymond

Madaee...

Adam Mchovu....

Msami Beibyyy...

Shilole...

Wasanii wakiimba kwa pamoja....

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wasanii watakaotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta Moshi waahidi makamuzi ya nguvu

Wasanii wanaotarajia kupanda katika jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Jumamosi hii mjini Moshi wameahidi show ya nguvu. Wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro, Mh Temba na Nay wa Mitego nao wamewaomba wakazi wa mkoa wao huo kwenda kwa wingi kwenye show hiyo. “Unajua unapokuwa mwenyeji lazima uwape waliokuja kukusapoti burudani ambayo inastahili, kwahiyo hatutawaangusha ndugu zetu […]

 

10 years ago

Bongo5

Alichokisema Mwana FA baada ya kile alichokiona kwenye Fiesta Dar kuhusu wasanii wa Bongo

Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA ni miongoni mwa wasanii waliopata nafasi ya kupanda jukwaa moja na rapper T.I kutoka Marekani, usiku wa Jumamosi October 18 pale viwanja vya Leaders Club jijini Dar katika tamasha kubwa la Serengeti Fiesta 2014. Licha ya kufanya show kali lakini pia Binamu alikuwa ni mtazamaji wa show za wasanii wengine […]

 

11 years ago

CloudsFM

WASANII WAMWALIKA RAIS KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA ‘NAIAMINIA TANZANIA’,JUMAMOSI HII KWENYE UWANJA WA JAMHURI, DODOMA

Naiminia Tanzania ndiyo habari ya mjini, weekend hii siku ya Jumamosi ndani ya uwanja wa Jamhuri,Mkoani Dodoma wasanii wa fani mbalimbali hapa nchini wameandaa ufunguzi wa kampeni kubwa inayoitwa ‘Naiaminia Tanzania’.Ambayo ni muendelezo wa ile ngoma yao ya miaka 50 ya tanzania, ambayo waliirekodi wasanii 50, wakashuti na video.Msanii wa Bongo Fleva,Mwana FA pamoja na Nikki Wa Pili watatoa speech mbele ya mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani