Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Wasanii watakaotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta Moshi waahidi makamuzi ya nguvu

Wasanii wanaotarajia kupanda katika jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Jumamosi hii mjini Moshi wameahidi show ya nguvu. Wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro, Mh Temba na Nay wa Mitego nao wamewaomba wakazi wa mkoa wao huo kwenda kwa wingi kwenye show hiyo. “Unajua unapokuwa mwenyeji lazima uwape waliokuja kukusapoti burudani ambayo inastahili, kwahiyo hatutawaangusha ndugu zetu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha : Wasanii wa Serengeti Fiesta watinga Radio za Mbeya na kuhaidi makamuzi

Wasanii wanaotarajiwa kufanya makamuzi usiku wa leo kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mapema leo walipata nafasi ya kutembelea radio za mkoa huo ambazo ni Mbeya Fm, Bomba Fm na Generation Fm. Nay wa mitego akiwa na Nay Lee wakiwa Generation Fm Nay wa Mitego na Mr Blue […]

 

10 years ago

GPL

MAKAMUZI YA SERENGETI FIESTA MJINI MOSHI‏

Burudani zikiwa zimepamba moto katika Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Moshi usiku huu. Chegge (kulia) na Mhe. Temba wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta Moshi.…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta 2014 Moshi ilikuwa ni shida

Wakazi wa Moshi usiku wa August 30 walipata burudani za shangwe ya Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika katika viwanja vya Majengo kutoka kwa wasanii mbalimbali. Tazama picha za show hiyo. Mamong’oo ndio walifunga show Mapacha Maua Sama Nay wa Mitego na Stamina Nickson George wa Clouds TV Producer Lamar akiwarusha mashabiki wa Moshi kwa ngoma za […]

 

11 years ago

Bongo5

Serengeti Fiesta 2014 Mwanza: Wasanii wazungumza na waandishi wa habari (Picha)

Baadhi ya wasanii waliowasili jijini Mwanza kwaajili ya show ya Serengeti Fiesta 2014 itakayofanyika Jumamosi (August 9) katika uwanja wa CCM Kirumba, Ijumaa hii wamekutana na kuzungumza na waandishi wa habari jijini humo. Nay wa Mitego Miongoni mwa wasinii waliowasili tayari ni pamoja na Nay wa Mitego, Chege,Makomando, Linah, Mr Blue, Nyandu Tozi, Young Killer […]

 

10 years ago

GPL

WASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA JIJINI TANGA WAMJULIA HALI MZEE NJENJE NYUMBANI KWAKE SAHARE

Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,almaarufu kama Mzee Njenje akizungumza machache mbele ya wasanii mbalimbali wa bongofleva waliofika nyumbani kwake Sahare,nje kidogo ya jiji la Tanga,kumjulia hali kutokana na maradhi yake yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda sasa. Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya,Rachael na Linah wakiwa wamepozi katika picha ya ukumbusho na Mzee… ...

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA 2014 JIONI YA LEO JIJINI TANGA WAMJULIA HALI MZEE NJENJE NYUMBANI KWAKE SAHARE.

 Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,almaarufu kama Mzee Njenje akizungumza machache mbele ya wasanii mbalimbali wa bongofleva waliofika nyumbani kwake Sahare,nje kidogo ya jiji la Tanga,kumjulia hali kutokana na maradhi yake yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda sasa.
Mzee Njenje amewaasa wasanii hao ambao amekiri wazi kuwa wanafanya vizuri katika anga ya muziki wao,kupata muda mwingi wa kupumzika ikiwemo na suala la kutoendekeza masualaua ya anasa kama vile ulevi,ngono na mengineyo ambayo huchangia...

 

10 years ago

Vijimambo

SERENGETI FIESTA YAWATAMBULISHA T.I, DAVIDO, VICTORIA KIMANI NA WENGINEO LEO KABLA YA KUPANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA MUDA MFUPI UJAO

Msanii TI akiingia katika Ukumbi wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kufanya mkutano na waandishi wa Habari kabla ya kupanda kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta muda mfupi ujaoMkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Bw Steve Ganon akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar wakati timu nzima ya Serengeti na Prime Time Promotions ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Fiesta walipokuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mh. Temba kuipamba Serengeti Fiesta Moshi

WAPENZI na mashabiki wa muziki wa jiji la Moshi, mkoani Kilimnjaro, Jumamosi hii watapata burudani ya aina yake kupitia onyesho la nguvu maarufu kama Serengeti Fiesta katika Uwanja wa Majengo....

 

9 years ago

Bongo5

Hawa ni wasanii wa Tanzania watakaotumbuiza kwenye tamasha la Africa On The Square jijini London

Tamasha la mara pili la kila mwaka, Africa On The Square linatarajiwa kufanyika October 10 na kukutanisha wasanii kutoka Tanzania, Ghana na Senegal. Tamasha hilo lililoanzishwa mwaka jana na kuvutia watazamaji zaidi ya 20,000, litafanyika Trafalgar Square jijini London, Uingereza. Pamoja na muziki wa Kiafrika utakaochezwa live, kutakuwepo pia na Madj, dancers, chakula na mambo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani