WASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA 2014 JIONI YA LEO JIJINI TANGA WAMJULIA HALI MZEE NJENJE NYUMBANI KWAKE SAHARE.
Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,almaarufu kama Mzee Njenje akizungumza machache mbele ya wasanii mbalimbali wa bongofleva waliofika nyumbani kwake Sahare,nje kidogo ya jiji la Tanga,kumjulia hali kutokana na maradhi yake yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda sasa.
Mzee Njenje amewaasa wasanii hao ambao amekiri wazi kuwa wanafanya vizuri katika anga ya muziki wao,kupata muda mwingi wa kupumzika ikiwemo na suala la kutoendekeza masualaua ya anasa kama vile ulevi,ngono na mengineyo ambayo huchangia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA JIJINI TANGA WAMJULIA HALI MZEE NJENJE NYUMBANI KWAKE SAHARE
10 years ago
MichuziWasanii wa serengeti fiesta Tanga wamjulia hali Babu njenje, Tanga, leo
9 years ago
Bongo530 Sep
Hawa ni wasanii wa Tanzania watakaotumbuiza kwenye tamasha la Africa On The Square jijini London
10 years ago
GPLTAMASHA LA FIESTA 2014 LAWA GUMZO MKOANI TANGA
10 years ago
Bongo530 Aug
Picha: Wasanii watakaotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta Moshi waahidi makamuzi ya nguvu
10 years ago
MichuziWAKAZI WA JIJI LA TANGA NA VITONGOJI VYAKE WAKUBALI MAKAMUZI YA TAMASHA LA FIESTA 2014.
Maelekezo ya hapa na pale kutoka kwa mafundi mitambo na jukwaa ilikuwa ikifanyika ili mambo yaende sawa.Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba.Ommy Dimpoz akimpagawisha shabiki wake jukwaani kwa staili ya Kantangazee...!Ali Kiba na vijana wake wakilishambulia jukwaa la Fiesta.waliojoitokeza kwenye tamasha la...
11 years ago
MichuziMAENDELEO YA MSIBA WA MZEE MUHIDIN MAALIM GURUMO NYUMBANI KWAKE MABIBO MCHANA WA LEO
10 years ago
Dewji Blog14 Jan
Rais Kikwete na Mkewe wamjulia hali mbunge wa Namtumbo Mhe Vita Kawawa aliyelazwa hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao ni Mhe Adam Malima, nai bu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari katika wodi hiyo.(PICHA NA IKULU).
11 years ago
MichuziTAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 LAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI MWANZA.