Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii wa serengeti fiesta Tanga wamjulia hali Babu njenje, Tanga, leo

 Msanii mkongwe wa muziki wa dansi Mabrouk Omar a.k.a Babu  Njenje (kushoto), akiongea na wasanii wa muziki wa kizazi kipya walipomtembelea nyumbani kwake mjini Tanga , msanii huyo kwa sasa anasumbuliwa na matatizo ya kiafya. Wasanii hao wapo katika msafara wa tamasha ya Serengeti fiesta ambapo kwa mjini hapo linafanyika katika Uwanja wa Mkwakwani. Mkurugenzi wa  Uzalishaji  na Vipindi wa Clouds Media, Ruge Mutahaba (kushoto) na Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney wakiteta na  Masanii...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA 2014 JIONI YA LEO JIJINI TANGA WAMJULIA HALI MZEE NJENJE NYUMBANI KWAKE SAHARE.

 Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,almaarufu kama Mzee Njenje akizungumza machache mbele ya wasanii mbalimbali wa bongofleva waliofika nyumbani kwake Sahare,nje kidogo ya jiji la Tanga,kumjulia hali kutokana na maradhi yake yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda sasa.
Mzee Njenje amewaasa wasanii hao ambao amekiri wazi kuwa wanafanya vizuri katika anga ya muziki wao,kupata muda mwingi wa kupumzika ikiwemo na suala la kutoendekeza masualaua ya anasa kama vile ulevi,ngono na mengineyo ambayo huchangia...

 

10 years ago

GPL

WASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA JIJINI TANGA WAMJULIA HALI MZEE NJENJE NYUMBANI KWAKE SAHARE

Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,almaarufu kama Mzee Njenje akizungumza machache mbele ya wasanii mbalimbali wa bongofleva waliofika nyumbani kwake Sahare,nje kidogo ya jiji la Tanga,kumjulia hali kutokana na maradhi yake yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda sasa. Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya,Rachael na Linah wakiwa wamepozi katika picha ya ukumbusho na Mzee… ...

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI TANGA

Mshindi wa Serengeti Super nyota 2013, Edo Boy akifungua burudani. Young killer akikonga nyoyo za mashabiki katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo .…

 

10 years ago

Bongo5

Video:Alikiba na Vanessa wakifanya show ya Serengeti Fiesta 2014 Tanga

Watazame Alikiba na Vanessa Mdee wakitumbuiza kwenye show ya Serengeti Fiesta Tanga Jumamosi (August 23).

 

10 years ago

Vijimambo

SERENGETI FIESTA YAWATAMBULISHA T.I, DAVIDO, VICTORIA KIMANI NA WENGINEO LEO KABLA YA KUPANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA MUDA MFUPI UJAO

Msanii TI akiingia katika Ukumbi wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kufanya mkutano na waandishi wa Habari kabla ya kupanda kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta muda mfupi ujaoMkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Bw Steve Ganon akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar wakati timu nzima ya Serengeti na Prime Time Promotions ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Fiesta walipokuwa...

 

10 years ago

GPL

WASANII SERENGETI FIESTA 2014 NDANI YA BREEZE FM

Wasanii wanaotarajiwa kufanya shoo kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 leo wakisubiria kufanyiwa mahojiano ndani ya kituo cha Redio cha Breeze FM cha mjini Tanga mapema hii. Msanii kutoka Kundi la Yamoto Band, Dogo Aslay akizungumzia namna watakavyotoa burudani kwa mara ya kwanza mjini Tanga katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 ndani ya Uwanja wa Mkwakwani.… ...

 

10 years ago

GPL

WASANII WA SERENGETI FIESTA WATINGA NDANI YA GENERATION FM MBEYA

WASANII  wanaotarajiwa kufanya makamuzi kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, usiku wa leo ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, mapema leo walipata shavu la kufanyiwa mahojiano mafupi ndani ya Generation FM ya mjini hapo na kila mmoja akaweza kuweka wazi namna alivyojipanga kuwapagawisha wakazi wa Mbeya mara tu watakapoanza makamuzi yao usiku wa leo. Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akifanyiwa mahojiano mafupi ndani...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA FIESTA 2014 LAWA GUMZO MKOANI TANGA

Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa. Barnaba Boy…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani