Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA JIJINI TANGA WAMJULIA HALI MZEE NJENJE NYUMBANI KWAKE SAHARE

Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,almaarufu kama Mzee Njenje akizungumza machache mbele ya wasanii mbalimbali wa bongofleva waliofika nyumbani kwake Sahare,nje kidogo ya jiji la Tanga,kumjulia hali kutokana na maradhi yake yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda sasa. Wasanii wa Muziki wa Kizazi kipya,Rachael na Linah wakiwa wamepozi katika picha ya ukumbusho na Mzee… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA 2014 JIONI YA LEO JIJINI TANGA WAMJULIA HALI MZEE NJENJE NYUMBANI KWAKE SAHARE.

 Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,almaarufu kama Mzee Njenje akizungumza machache mbele ya wasanii mbalimbali wa bongofleva waliofika nyumbani kwake Sahare,nje kidogo ya jiji la Tanga,kumjulia hali kutokana na maradhi yake yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda sasa.
Mzee Njenje amewaasa wasanii hao ambao amekiri wazi kuwa wanafanya vizuri katika anga ya muziki wao,kupata muda mwingi wa kupumzika ikiwemo na suala la kutoendekeza masualaua ya anasa kama vile ulevi,ngono na mengineyo ambayo huchangia...

 

10 years ago

Michuzi

Wasanii wa serengeti fiesta Tanga wamjulia hali Babu njenje, Tanga, leo

 Msanii mkongwe wa muziki wa dansi Mabrouk Omar a.k.a Babu  Njenje (kushoto), akiongea na wasanii wa muziki wa kizazi kipya walipomtembelea nyumbani kwake mjini Tanga , msanii huyo kwa sasa anasumbuliwa na matatizo ya kiafya. Wasanii hao wapo katika msafara wa tamasha ya Serengeti fiesta ambapo kwa mjini hapo linafanyika katika Uwanja wa Mkwakwani. Mkurugenzi wa  Uzalishaji  na Vipindi wa Clouds Media, Ruge Mutahaba (kushoto) na Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney wakiteta na  Masanii...

 

9 years ago

Bongo5

Hawa ni wasanii wa Tanzania watakaotumbuiza kwenye tamasha la Africa On The Square jijini London

Tamasha la mara pili la kila mwaka, Africa On The Square linatarajiwa kufanyika October 10 na kukutanisha wasanii kutoka Tanzania, Ghana na Senegal. Tamasha hilo lililoanzishwa mwaka jana na kuvutia watazamaji zaidi ya 20,000, litafanyika Trafalgar Square jijini London, Uingereza. Pamoja na muziki wa Kiafrika utakaochezwa live, kutakuwepo pia na Madj, dancers, chakula na mambo […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wasanii watakaotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta Moshi waahidi makamuzi ya nguvu

Wasanii wanaotarajia kupanda katika jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Jumamosi hii mjini Moshi wameahidi show ya nguvu. Wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro, Mh Temba na Nay wa Mitego nao wamewaomba wakazi wa mkoa wao huo kwenda kwa wingi kwenye show hiyo. “Unajua unapokuwa mwenyeji lazima uwape waliokuja kukusapoti burudani ambayo inastahili, kwahiyo hatutawaangusha ndugu zetu […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Balozi wa Iran amtembelea Mzee Mwinyi nyumbani kwake

OTH_4912

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, inayoonyesha sehemu ya Utamaduni wa Tanzania, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam Disemba 14, 2015.

OTH_4897

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha yake rasmi kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari,...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA FIESTA 2014 LAWA GUMZO MKOANI TANGA

Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa. Barnaba Boy…

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA IRAN NCHINI AMTEMBELEA MZEE MWINYI NYUMBANI KWAKE

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha ya maalum kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi Aghajafari, inayoonyesha sehemu ya Utamaduni wa Tanzania, wakati alipomtembelea Nyumbani kwake, Mikocheni, Jijini Dar es salaam leo Desemba 14, 2015. Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kulia) akikabidhi Picha yake rasmi kwa Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mh. Mehdi...

 

9 years ago

Michuzi

MZEE NJEMBA ATOWEKA NYUMBANI KWAKE MAGOMENI MAKUTI, NDUGU WANAMTAFUTA

Ndugu na jamaa wanatarifiwa kwamba Bw. Hemed Mzee Ibrahim "Njemba" (pichani)  ametoweka nyumbani kwake Magomeni Makuti mtaa wa Mchinga namba 22 jijini Dar es salam toka siku ya Alhamisi tarehe 24/12/2015. Alionekana mara ya mwisho kwenye msikiti wa Magomeni Makuti muda wa alasiri alipokwenda kuswali, akiwa kavaa balaghashia (kama hiyo pichani), shati la light purple, suruali ya bluu na kandambili za bluu. Baada ya hapo hakurudi nyumbani kwake na hadi sasa hajulikani alipo. Mzee Njemba...

 

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA JIJI LA TANGA NA VITONGOJI VYAKE WAKUBALI MAKAMUZI YA TAMASHA LA FIESTA 2014.

Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani kwenye tamasha la Fiesta 2014 ndani ya uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga,huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisa.
Maelekezo ya hapa na pale kutoka kwa mafundi mitambo na jukwaa ilikuwa ikifanyika ili mambo yaende sawa.Linah akilinogesha jukwaa la Fiesta na wimbo wake wa Ole Temba.Ommy Dimpoz akimpagawisha shabiki wake jukwaani kwa staili ya Kantangazee...!Ali Kiba na vijana wake wakilishambulia jukwaa la Fiesta.waliojoitokeza kwenye tamasha la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani