TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 LAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI MWANZA.
Nyota wa muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza lililofanyika mwishoni mwa wiki,tamasha hilo litaendelea kwenye miji mingine ya Bukoba na Kahama mwishoni mwa wiki. Baada ya kazi ya kuwaburudisha mashabiki wake,Mara Wema Sepetu a.k.a shemeji nae akajiunga kumpa sapoti mpenzi wake jukwaani.Sehemu ya umati wa wakazi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLSERENGETI FIESTA 2014 YAANZA MWANZA KWA KISHINDO
11 years ago
Dewji Blog09 Aug
Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza
Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....
11 years ago
Dewji Blog10 Aug
Shamrashamra za Serengeti Fiesta 2014 zapamba moto jijini Mwanza
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Young killer Msodoki, akiimba moja ya nyimbo zake katika onyesho la utambulisho wa wasanii watakaoshiriki katika maonyesho ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta yaliyoanza leo katika Uwanja wa CCM Kirumba. hafla ya utambulisho ilifanyika katika ukumbi wa klabu ya Jembe ni Jembe jijiini Mwanza jana usiku. Tamasha la fiesta linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kwa bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Msanii wa muziki wa bongo flava, Chege Chigunda ‘mtoto...
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
T.I, Waje, Ash Hamman na Kimani kuwasili leo Dar kwa ajili Tamasha la Serengeti Fiesta 2014
Baada ya kuzunguka maelfu ya maili, tamasha la Serengeti Fiesta 2014 litafunga ziara yake katika viwanja vya leaders jijini Dar es Salaam kesho kutwa jumamosi.
Rapa wa kimataifa toka Marekani T.I, pamoja na Waje toka Nigeria, Ash Hamman toka Dubai na nyota mwingine wa muziki wa kizazi kipya toka nchini Kenya, Victoria Kimani wanatarajiwa kutua leo nchini kwa ajili kuburudisha katika tamasha la Serengeti Fiesta.
T.I toka Marekani, Waje wa Nigeria, Ash Hamman toka Dubai na Victoria Kimani wa...
10 years ago
MichuziTamasha la 33 la Sanaa lazinduliwa kwa kishindo
11 years ago
Bongo508 Aug
Serengeti Fiesta 2014 Mwanza: Wasanii wazungumza na waandishi wa habari (Picha)
10 years ago
MichuziTAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 MUSOMA LASITISHWA KUFUATIA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO.
Kuaihirishwa huko kunafuatia ajali mbaya na ya aina yake iliyopelekea...
11 years ago
Bongo510 Aug
Picha: Serengeti Fiesta 2014 Mwanza yafana ndani ya uwanja wa CCM Kirumba
9 years ago
Dewji Blog23 Oct
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) yahitimisha kampeni ya “Serengeti Masta” kwa kishindo jijini Dar
Mshiriki wa shindano la mwisho la kumtafuta Serengeti Masta kwa wilaya ya Temeke Emmanuel Nyaulingo (kulia) akipokea zawadi ya fulana kabla ya shindano hilo kuanza rasmi ambalo lililofanyika mwishoni mwa wiki katika baa ya Kisuma iliyopo Temeke jijini Dar es salaam. (kushoto) ni balozi wa bia ya Serengeti Premium Lager Caroline Vincent na anayeshudia (katikati) ni mshereheshaji wa shindano hilo Richard Godwin. Kampeni hiyo inafikia tamati jijini Dar es salaam baada ya kumalizika mikoani pia...