Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shamrashamra za Serengeti Fiesta 2014 zapamba moto jijini Mwanza

01

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Young killer Msodoki, akiimba moja ya nyimbo zake katika onyesho la utambulisho wa wasanii watakaoshiriki katika maonyesho ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta yaliyoanza leo katika Uwanja wa CCM Kirumba. hafla ya utambulisho ilifanyika katika ukumbi wa klabu ya Jembe ni Jembe jijiini Mwanza jana usiku. Tamasha la fiesta linadhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti kwa bia yake ya Serengeti Premium Lager.

02

Msanii wa muziki wa bongo flava, Chege Chigunda ‘mtoto...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza

02 (1)

Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa  tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....

 

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 LAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI MWANZA.

Nyota wa  muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza lililofanyika mwishoni mwa wiki,tamasha hilo litaendelea kwenye miji mingine ya Bukoba na Kahama mwishoni mwa wiki. Baada ya kazi ya kuwaburudisha mashabiki wake,Mara Wema Sepetu a.k.a shemeji nae akajiunga kumpa sapoti mpenzi wake jukwaani.Sehemu ya umati wa wakazi wa...

 

10 years ago

Michuzi

TEMEKE YAKABIDHI MWENGE WA UHURU WILAYA YA ILALA SHAMRASHAMRA ZAPAMBA MOTO

 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema (kushoto), akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi baada ya kumaliza mbio zake wilayani Temeke Dar es Salaam leo asubuhi. Mwenge huo umeanza mbio zake wilayani Ilala leo na kesho utakabidhiwa wilaya ya Kinondoni. Vijana wa hamasa wa wilaya ya Ilala wakishangilia katika hafla hiyo ya kukabidhiwa mwenge huo. Mwenge ukiwasiri Kata ya Ukonga tayari kwa kukimbizwa wilaya ya Ilala.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA 2014 YAANZA MWANZA KWA KISHINDO

Msanii wa Bongo Flava, Linah Sanga (wa pili kushoto) na mkali wa muziki huo na mshindi wa tuzo ya AFRIMMA 2014, Diamond Platinum (kushoto) wakifanya vitu vyao katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza jana. Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' (kushoto), akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la Tamasha la Serengeti...

 

11 years ago

Bongo5

Serengeti Fiesta 2014 Mwanza: Wasanii wazungumza na waandishi wa habari (Picha)

Baadhi ya wasanii waliowasili jijini Mwanza kwaajili ya show ya Serengeti Fiesta 2014 itakayofanyika Jumamosi (August 9) katika uwanja wa CCM Kirumba, Ijumaa hii wamekutana na kuzungumza na waandishi wa habari jijini humo. Nay wa Mitego Miongoni mwa wasinii waliowasili tayari ni pamoja na Nay wa Mitego, Chege,Makomando, Linah, Mr Blue, Nyandu Tozi, Young Killer […]

 

11 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta 2014 Mwanza yafana ndani ya uwanja wa CCM Kirumba

Wasanii mbalimbali jana August 9 waliwaburudisha mashabiki wa muziki wao katika tamasha la Serengeti Fiesta jijini Mwanza. Diamond na Linah Miongoni mwa wasanii waliotoa burudani ni pamoja na Stamina,Madee,Dogo Janja,Jokate, Nay wa Mitego,Nyandu Tozi, Mr Blue, Diamond, Chege na Temba na wengine wengi. Hizi ni picha za show hiyo iliyofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba. […]

 

11 years ago

CloudsFM

10 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la Serengeti Fiesta kuwasha moto Moshi leo

UHONDO wa burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mahiri waliopo katika msafara wa Serengeti Fiesta 2014, leo ni zamu ya wapenzi na mashabiki wa mji wa Moshi na vitongoni...

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA 2014 YAFUNIKA DAR

Rapa kutoka nchini Marekani, Clifford Harris,'T.I' akitoa burudani kwenye tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na T.I usiku wa kuamkia leo Ledears Club.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani