Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha la 33 la Sanaa lazinduliwa kwa kishindo

 Mgeni rasmi ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Makongoro Nyerere (kushoto) akifuatilia maonyesho mbalimbali yaliyokua yakiendelea wakati wa uzinduzi wa Tamasha la 33 la Sanaa lililofanyika katika Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) jana, katikati ni Mtendaji mkuu TaSUBa Bw. Michael J. Kadinde na kulia ni Mkurugenzi Maendeleo ya Utamaduni Prof. Hermas Mwansoko. Mgeni rasmi ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Makongoro Nyerere kati akipiga...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 LAZINDULIWA KWA KISHINDO JIJINI MWANZA.

Nyota wa  muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza lililofanyika mwishoni mwa wiki,tamasha hilo litaendelea kwenye miji mingine ya Bukoba na Kahama mwishoni mwa wiki. Baada ya kazi ya kuwaburudisha mashabiki wake,Mara Wema Sepetu a.k.a shemeji nae akajiunga kumpa sapoti mpenzi wake jukwaani.Sehemu ya umati wa wakazi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Tamasha la Bagamoyo Marathon lazinduliwa

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Elisante ole Gabriel (kushoto) akishikana mikono na Mkurugrenzi wa Kampuni ya 4Beli, Gilbert Herman baada ya kuzindua  Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo Wilayani  Bagamoyo, Pwani .  Anayeangalia ni,  Katibu Tawala  wa Wilaya ya Bagamoyo, John Mhali. Katibu Tawala wa Wilaya ya Bagamoyo, John Mhali alizungumza katika hafla ya uzinduzi  wa Tamasha la Kihistoria la Bagamoyo iliyofanyika Bagamoyo, Mkoani Pwani .  Wengine...

 

9 years ago

Michuzi

MSIMU MPYA WA TAMASHA LA MTIKISIKO LAZINDULIWA IRINGA

 RADIO Ebony Fm yenye makao yake makuu mkoani Iringa kupitia kipindi chake cha mchana "THE SPLASH" imezindua rasmi hewani (on air launching) msimu mwingine wa kila mwaka wa tamasha maarufu kwa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini linalokwenda kwa jina la "MTIKISIKO" ambalo linatarajiwa kuanza katikati ya mwezi huu na kupita karibu sehemu zote inaposikika redio hiyo baadhi ya picha za watangazaji wakiwa katika shangwe za uzinduzi huo.(PICHA zote na Denis Mlowe)

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA PASAKA KUTIMIZA MIAKA 15 KWA KISHINDO,KUHUSISHA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions Ltd,Bwa Alex Msama akifafanua zaidi kwa Wanahabari kuhusiana na tamasha hilo ambalo mwaka huu linatimiza miaka 15 tangu kuanzishwa kwake. 
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama amezungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo kinondoni Moroco hapo jana,kuhusiana na maandalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, Msama amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbaji wa muziki wa ...

 

9 years ago

Habarileo

Vikundi 65 kushiriki Tamasha la Sanaa

VIKUNDI 65 kutoka ndani na nje ya nchi vinatarajia kushiriki katika Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo kuanzia wiki ijayo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

 

10 years ago

Mwananchi

Kila la heri Tamasha la Sanaa Bagamoyo

Jumatatu ya Septemba 22, Tamasha la 33 la Sanaa la Bagamoyo litaanza, likiratibiwa na Chuo cha Sanaa cha Bagamoyo, ikiwa ni sehemu ya kuonyesha vipaji walivyozalisha kwa mwaka huu, lakini pia ni msimu wa burudani na furaha kwa wakazi wa Bagamoyo na vitongoji vyake.

 

9 years ago

Mtanzania

Bongo Fleva wakacha Tamasha la Sanaa Bagamoyo

BONGO FLEVANA FESTO POLEA

TAMASHA la 34 la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililoanzishwa mwaka 1981 na Chuo cha Sanaa Bagamoyo (kwa sasa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo), linatarajiwa kufanyika kwa siku sita katika viwanja vya chuo hicho bila ya kuwa na ushiriki wa wasanii wa Bongo Fleva.

Mwenyekiti wa Tamasha hilo, John Mponda, alilieleza MTANZANIA kwamba hakuna msanii wa Bongo Fleva yeyote aliyejitokeza kuomba kushiriki katika tamasha hilo, jambo ambalo linaonyesha kutokuwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani