Vikundi 65 kushiriki Tamasha la Sanaa
VIKUNDI 65 kutoka ndani na nje ya nchi vinatarajia kushiriki katika Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo kuanzia wiki ijayo wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Vikundi 50 kupimana ubavu, Tamasha Bagamoyo
10 years ago
Mwananchi20 Sep
Kila la heri Tamasha la Sanaa Bagamoyo
10 years ago
MichuziTamasha la 33 la Sanaa lazinduliwa kwa kishindo
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-h7TIJo5fj3Q/Vd2LGxLMEhI/AAAAAAAH0Io/PoHhNgG57Ic/s72-c/unnamed%2B%252848%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo20 Oct
BAADHI YA WASANII NA VIKUNDI VITAKAVYOSHIRIKI KWENYE TAMASHA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL, BAGAMOYO TANZANIA.
PANDA 1/2 (JAPAN)MARIA KATE (FRANCE)IFE PIANKHI (UGANDA)MASAYO (JAPAN)FANTUZZI (USA)SHIWE MUSIQUE (COMORO)DEMBEDE (KENYA)MBIYE EBRIMA (GUINEA)JHIKOMAN & Afrikabisa Band(TANZANIA)WAHAPAHAPA BAND(TANZANIA)SEGERE ORIGINAL (TANZANIA)BARNABA (TANZANIA)VITALIS MAEMBE (TANZANIA)THE SPIRIT BAND (TANZANIA)MAMA AFRICA (TANZANIA)CHIBITE ZAWOSE FAMILY (TANZANIA)AFRIKWETU (TANZANIA)TONGWA ENSEMBLE (TANZANIA)LEO MKANYIA (TANZANIA)COCODO BAND(TANZANIA)HOKORORO BAND (TANZANIA)LUMUMBA THEATER(TANZANIA)MSWANU...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-gH7eSDc9r-w/VCROYu9m0MI/AAAAAAAGlzI/WP4egFUiDMw/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
UTANDAWAZI GROUP KUNOGESHA TAMASHA LA SANAA BAGAMOYO
KUNDI maalufu la ngoma asili la Utandawazi Theater Group ‘Matwigachallo’ jioni ya kesho wanatarajiwa kuwasha moto wa aina yake kwenye tamasha la Kimataifa la 33 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, lililoanza Septemba 22 mwaka huu kwenye viunga vya chuo hicho.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa tamasha hilo, Abmic am Bafadhil ‘Bura’ alieleza kuwa, kundi hilo ambalo kwa sasa limejizolea umaalufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, linatarajiwa kutoa burudani ya ngoma za asili...
9 years ago
Mtanzania18 Sep
Bongo Fleva wakacha Tamasha la Sanaa Bagamoyo
NA FESTO POLEA
TAMASHA la 34 la kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo lililoanzishwa mwaka 1981 na Chuo cha Sanaa Bagamoyo (kwa sasa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo), linatarajiwa kufanyika kwa siku sita katika viwanja vya chuo hicho bila ya kuwa na ushiriki wa wasanii wa Bongo Fleva.
Mwenyekiti wa Tamasha hilo, John Mponda, alilieleza MTANZANIA kwamba hakuna msanii wa Bongo Fleva yeyote aliyejitokeza kuomba kushiriki katika tamasha hilo, jambo ambalo linaonyesha kutokuwa na...
9 years ago
Mtanzania22 Sep
Tamasha la Sanaa Bagamoyo latinga siku ya pili
WAKATI Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo likiwa limeanza jana kwa maandamano ya kuzunguka mitaa mbalimbali ya mji wa Bagamoyo, leo wadau mbalimbali wa sanaa wanapata mafunzo ya kupinga rushwa yanayoratibiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).
Katika warsha hiyo pia mabalozi wanaowakilisha nchi mbalimbali, maofisa kutoka ofisi mbalimbali na wizara mbalimbali wamealikwa ili kupata mafunzo hayo yatakayosaidia kupinga na kukabiliana na rushwa hasa...