Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAKAMUZI YA SERENGETI FIESTA MJINI MOSHI‏

Burudani zikiwa zimepamba moto katika Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Moshi usiku huu. Chegge (kulia) na Mhe. Temba wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta Moshi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Wasanii watakaotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta Moshi waahidi makamuzi ya nguvu

Wasanii wanaotarajia kupanda katika jukwaa la Serengeti Fiesta 2014 Jumamosi hii mjini Moshi wameahidi show ya nguvu. Wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro, Mh Temba na Nay wa Mitego nao wamewaomba wakazi wa mkoa wao huo kwenda kwa wingi kwenye show hiyo. “Unajua unapokuwa mwenyeji lazima uwape waliokuja kukusapoti burudani ambayo inastahili, kwahiyo hatutawaangusha ndugu zetu […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha : Wasanii wa Serengeti Fiesta watinga Radio za Mbeya na kuhaidi makamuzi

Wasanii wanaotarajiwa kufanya makamuzi usiku wa leo kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, ndani ya Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya mapema leo walipata nafasi ya kutembelea radio za mkoa huo ambazo ni Mbeya Fm, Bomba Fm na Generation Fm. Nay wa mitego akiwa na Nay Lee wakiwa Generation Fm Nay wa Mitego na Mr Blue […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mh. Temba kuipamba Serengeti Fiesta Moshi

WAPENZI na mashabiki wa muziki wa jiji la Moshi, mkoani Kilimnjaro, Jumamosi hii watapata burudani ya aina yake kupitia onyesho la nguvu maarufu kama Serengeti Fiesta katika Uwanja wa Majengo....

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Serengeti Fiesta 2014 Moshi ilikuwa ni shida

Wakazi wa Moshi usiku wa August 30 walipata burudani za shangwe ya Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika katika viwanja vya Majengo kutoka kwa wasanii mbalimbali. Tazama picha za show hiyo. Mamong’oo ndio walifunga show Mapacha Maua Sama Nay wa Mitego na Stamina Nickson George wa Clouds TV Producer Lamar akiwarusha mashabiki wa Moshi kwa ngoma za […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la Serengeti Fiesta kuwasha moto Moshi leo

UHONDO wa burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mahiri waliopo katika msafara wa Serengeti Fiesta 2014, leo ni zamu ya wapenzi na mashabiki wa mji wa Moshi na vitongoni...

 

10 years ago

GPL

SHANGWE ZA SERENGETI FIESTA BUKOBA‏

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Bukoba.
Rachel akiendelea kutoa burudani.…

 

10 years ago

Vijimambo

SERENGETI FIESTA YAWATAMBULISHA T.I, DAVIDO, VICTORIA KIMANI NA WENGINEO LEO KABLA YA KUPANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA MUDA MFUPI UJAO

Msanii TI akiingia katika Ukumbi wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kufanya mkutano na waandishi wa Habari kabla ya kupanda kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta muda mfupi ujaoMkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Bw Steve Ganon akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano wa Bongoyo uliopo katika Hoteli ya Sea Cliff Jijini Dar wakati timu nzima ya Serengeti na Prime Time Promotions ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Fiesta walipokuwa...

 

10 years ago

GPL

RAPPA T.I KUFANYA MAKAMUZI FIESTA 2014 JIJINI DAR

RAPPA kutoka nchini Marekani, Clifford Joseph Harris,'T.I' ni mmoja wa wanamuziki watakaopiga shoo katika Usiku wa Fiesta 2014 ndani ya Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam. T.I atafanya makamuzi pamoja na wakali wengine watakaokuwa kwenye listi ya kutoa burudani Oktoba 18, mwaka huu. Staa huyo mwenye albamu nane ambazo ni I'm Serious, Trap Muzik, Urban Legend, King, T.I. vs. T.I.P., Paper Trail, No Mercy na Trouble Man:...

 

10 years ago

Vijimambo

RAPPA T.I KUFANYA MAKAMUZI FIESTA 2014 JIJINI DAR NI SHIIIIIIIIIDA



T.I atafanya makamuzi pamoja na wakali wengine watakaokuwa kwenye listi ya kutoa burudani Oktoba 18, mwaka huu.Staa huyo mwenye albamu nane ambazo ni I'm Serious, Trap Muzik, Urban Legend, King, T.I. vs. T.I.P., Paper Trail, No Mercy na Trouble Man: Heavy Is the Head ambapo nyingi kati yake zimefanya vizuri sana katika soko la muziki.
T.I ameshinda tuzo tatu za Grammy tangu aanze safari yake ya muziki. 
Baadhi…
RAPPA kutoka nchini Marekani, Clifford Joseph Harris,'T.I' ni mmoja wa wanamuziki...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani