Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Doroth Masuka: Wasanii wa Afrika tujivunie Afrika yetu

DOROSiNA FESTO POLEA

MWANAMUZIKI mkongwe kutoka Afrika Kusini, Dorothi Masuka, amewataka wasanii wanaotoka nchi za Afrika wasisahau kusifia bara lao la Afrika kwa kutaja majina ya nchi wanazotoka tu.

Mkongwe huyo aliliambia MTANZANIA kwamba, wasanii wengi huwa wanatumia muda mwingi kutangaza majina ya nchi zao wanasahau kuitangaza Afrika ili kuimarisha mshikamano wa umoja na utaifa wao.

“Ukiwa Afrika unatakiwa kujivunia na kujitangaza sisi sote ni wasanii kutoka Afrika, kwanini huwa hatujinadi...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Gwiji wa muziki Afrika Mama Dorothy Masuka akonga tamasha la ZIFF 2015

DSC_0266Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi  kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka  akiwa jukwaani katika shoo yake usiku wa Julai 19, katika tamasha la 18, la ZIFF 2015,Ngome Kongw upande wa Mambo Club. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com-Zanzibar)

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Zanzibar) Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi  kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka kutoka Afrika Kusini ambaye pia anatamba na wimbo wa ‘Hapo zamani’ usiku wa Julai 19 ameweza kukonga nyoyo za wadau wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Gwiji wa muziki Afrika Mama Dorothy Masuka akonga tamasha la ZIFF 2015

Mwanamuziki wa nyimbo za Ukombozi kwa Bara la Afrika, Mkongwe, Dorothy Masuka akiwa jukwaani katika shoo yake usiku wa Julai 19, katika tamasha la 18, la ZIFF 2015,Ngome Kongw upande wa Mambo Club. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog.com-Zanzibar)Gwiji wa muziki Afrika, Bi Dorothy Masuka akiimba pamoja na Mtanzania, Sauda Simba wakati wa shoo hiyo..Bi. Dorothy Masuka akiimba huku akisikilizia ala za gitaa kutoka kwa mpga gitaa wake..Picha ya juu na chini wakiaga mashabiki…..Wakiaga...

 

10 years ago

GPL

WASANII 7 MATAJIRI AFRIKA

Baada ya wiki iliyopita kuwaletea marais ambao watoto wao nao wameshika nafasi hiyo katika nchi zao, leo nakuletea wasanii saba matajiri Afrika. Youssou N’dour: Mkongwe toka Senegal, aliyezaliwa mwaka 1959, ndiye tajiri kwa wanamuziki wa Afrika, akimiliki chombo cha habari kikubwa nchini mwake, ni mwimbaji, mtunzi mwigizaji, mfanyabiashara na mwanasiasa, aliwahi pia kuwa Waziri wa Utamaduni na Maliasili nchini...

 

10 years ago

GPL

WASANII AFRIKA MASHARIKI KUNUFAIKA NA EALLYWOOD

Baadhi ya wasanii kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki wanaounda  EALLYWOOD wakiwa na Mratibu wao (aliyekaa katikati yao). Msanii Slim na Hashim Kambi kutoka Tanzania pamoja na Margareth wa Kenya wakiwa katika mkutano. Msanii Jackline Pentzel, Quincy kutoka Kenya  na Fidelite  wa…

 

9 years ago

Mtanzania

Wasanii Afrika Mashariki kutengewa saa moja ya MTV Base

Wasanii - DiamondJULIET MORI (TUDARCO)

KITUO cha MTV Base kimezindua kipindi kipya kitakachokuwa kikishughulika na wasanii wa Afrika Mashariki kwa kuwahoji na kujua mazingira wanayokutana nayo katika kazi zao kwa ujumla.

Mtandao wa Ghafla Kenya umeeleza kwamba kipindi hicho cha saa moja kitaangalia zaidi maisha ya msanii kiundani na namna anavyoweza kupata kitakachoangalia maisha ya msanii kwa kumtambulisha kiundani, namna anavyoweza kupata mafanikio na aina ya muziki anayofanya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

LUPITA NYONG’O: Mfano kwa wasanii wa kike Afrika Mashariki

KESHO ikiwa ni Siku ya Wanawake Duniani, mwanadada msanii mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyong’o, anaisherehekea kwa furaha ya aina yake, kutokana na mafanikio ya kutwaa tuzo kubwa yenye umaarufu...

 

10 years ago

Mwananchi

Bushoke: Wasanii wengi wanaoenda Afrika Kusini wanabeba madawa ya kulevya

Kama ulidhani Watanzania waishio nchini Afrika Kusini wana kazi na maisha mazuri, basi ulikosea kwani kama huna elimu ya kutosha ukaamua kuzamia nchini humo ni lazima utaishia katika mikono isiyo salama.

 

5 years ago

CCM Blog

DIAMOND PLATNUMZ ANAVYOLINGANISHWA NA WASANII WENGINE AFRIKA KATIKA MTANDAO WA YOUTUBE



Diamond Platnumz akishangazwa na wazalishaji wake wa muziki nyumbani kwake
CHANZO CHA PICHA,WCB_WASAFIDiamond Platinumz alishangazwa na wazalishaji wake wa muziki wiki iliopita walipoingia katika nyumba yake na keki iliokuwa na nembo ya kuadhimisha hatua muhimu ya nyota huyo wa Tanzania.Huku akipigwa picha akivalia nguo , mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 30 aliambiwa na kundi lake kwamba ndiye msanii wa kwanza katika jangwa la sahara kupata views bilioni moja katika chaneli ya Youtube.Ruka Instagram ujumbe, 1
Mwisho wa Instagram ujumbe, 1
Presentational white spaceKatika kipindi cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani